Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Kwaiyo Aue baba aje alipe Mtoto sioMoja ya haki ya marehemu ni mali yake kulipa madeni yake kabla ya mirathi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo Aue baba aje alipe Mtoto sioMoja ya haki ya marehemu ni mali yake kulipa madeni yake kabla ya mirathi
Inawezekana kabisa mkuuKama gari au bodaboda ya matehemu ilikuwa na bima hata third party inatakiwa iwalipe wahusika (third parties) fidia na si kuuza mali zake. Hapa inawezekana chombo cha marehemu hakikuwa na bima.
Kwenye sheria zetu za makosa ya barabarani hakunaga adhabu ya kumhudumia majeruhi.Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.
Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.
Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.
Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.
Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.
Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.
Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.
Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.
Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.
Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.
View attachment 3252053
kuna uwezekano gari haikuwa na BIMASio mjuzi wa sheria kabisa, lakini, Pana hujuma hapo, malipo ya ajali hufanywa na bima ambayo huwepo kwenye chombo cha moto, kibaya nadhani huyo aliyegongwa ni mchawi mbaya Sana, hilo ni game!, inachezwa na mahakama, na wapuuzi katika kudhulumu.
Serekali izuie ujinga huu.
Mdaiwa yupo wap hapo?Kesi ingeendelea na hukumu ingetolewa,mahakama isingeweza kuacha kuendelea kuisikiliza hiyo kesi kwa sababu yenyewe haiwezi kujua kama mdaiwa anaweza kulipa au la.
Mdaiwa anasimama msimamizi wa mirathi na ikibidi kuuza mali basi inayouzwa ni mali ya marehemu na siyo mali ya msimamizi wa mirathi pia kumbuka jukumu kubwa la msimamizi wa mirathi ni kukusanya mali za marehemu ikiwa ni pamoja na madeni anayodai kisha kulipa madeni ya marehemu kama anadaiwa na kilichobaki ndiyo ugaiwa kwa warithi,kesi zinazofutwa za marehemu ni kesi za jinai tu lakini za madai zinaendelea hadi kieleweke.Mdaiwa yupo wap hapo?
Ujinga huo, sheria gani na mwanasheria gani? Halafu wabongo sisi tabu sana inpotokea ajali nini maana ya bima!?!? Makimbiliaga kutibu kama nani na kivipi? Kila ikitokea ajali ya boda na ndiga assumptions ni kuwa ndiga ndio chombo cha moto kikubwa so kina makosa.Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.
Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.
Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.
Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.
Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.
Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.
Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.
Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.
Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.
Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.
View attachment 3252053
Unaonekana unajibu kwa nadhalia na kama hujibu hvyo shusha vifungu viinavyosema hvyoMdaiwa anasimama msimamizi wa mirathi na ikibidi kuuza mali basi inayouzwa ni mali ya marehemu na siyo mali ya msimamizi wa mirathi pia kumbuka jukumu kubwa la msimamizi wa mirathi ni kukusanya mali za marehemu ikiwa ni pamoja na madeni anayodai kisha kulipa madeni ya marehemu kama anadaiwa na kilichobaki ndiyo ugaiwa kwa warithi,kesi zinazofutwa za marehemu ni kesi za jinai tu lakini za madai zinaendelea hadi kieleweke.
Ebu jiulize ikiwa marehemu ndiye mdai ina maana mdaiwa hastahili kulipa tena kwa sababu anayemdai amefariki? Ngoja siku likitokea kwa mtu wako wa karibu ndiyo utaelewa.
aombe appeal .......Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.
Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.
Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.
Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.
Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.
Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.
Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.
Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.
Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.
Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.
View attachment 3252053
alichokujibu ndio msimamo wa sheria soka kesi hiyo hapoUnaonekana unajibu kwa nadhalia na kama hujibu hvyo shusha vifungu viinavyosema hvyo
Hapo sijui mkuu ,ngoja nitazame sheria inasemaje kwa hiliSio mjuzi hivi Mtenda kosa akifariki anakuje kesi ama shauri alith mtu mwingine