princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Yani kwakifupi huyo mjane hatopata chochote aisee.. Hee! Nyie dunia hii ina mitihani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avumilie.Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.
Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.
Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.
Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.
Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.
Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.
Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.
Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.
Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.
Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.
View attachment 3252053
Hiyo ni civil case sio criminalJinai haifi
Wabongo wengi hawajui chochote kuhusu sheria na isitoshe mtu mwingine hajasoma hata hiyo habari yenyewe lakini anakazana kubishana tu! Utasikia mtu anasema eti inakuwaje aliyegonga ni marehemu halafu ashitakiwe mjane yaani hata hajui hiyo kesi imeanzaje! Mara mwingine utasikia mdaiwa akifariki kesi ndiyo imeisha na deni limekufa! Sasa utajitahidi kueleza lakini wapi mtu haelewi anajifanya yeye ni mjuaji kumbe boya tu.Hakuna kitu kama hicho mkuu
WaelezWabongo wengi hawajui chochote kuhusu sheria na isitoshe mtu mwingine hajasoma hata hiyo habari yenyewe lakini anakazana kubishana tu! Utasikia mtu anasema eti inakuwaje aliyegonga ni marehemu halafu ashitakiwe mjane yaani hata hajui hiyo kesi imeanzaje! Mara mwingine utasikia mdaiwa akifariki kesi ndiyo imeisha na deni limekufa! Sasa utajitahidi kueleza lakini wapi mtu haelewi anajifanya yeye ni mjuaji kumbe boya tu.
Tena sanaInasikitisha sana
Kwamba yeye alikuwa anaweza kutengua uamuzi wa mahakama au yeye ndiye angekuwa mahakama?RIP Magufuli
Pamoja na kutokujua Sheria lakini mahakama inatakiwa kutenda haki kama taratibu zinavyotaka.Siku zote ukipata shida inayohusiana na sheria ,wewe tafuta mwana sheria akusaidie vinginevyo utapewa hukumu hata ya mtu mwingine, tatizo ni kutokujua sheria ,kazi ya bima ni kudeal na ajali sio mtu binafsi
Mkuu umeandika nini sasa?Ni hapo wanaokopa hela kwenye vibanda vya OYA wakinyanganywa Mali zao mnasema Sheria hairuhusu .
Swali ni Sheria ya nchi ipi mpenzi wangu ?
Ona Sasa marehemu kamponza mtu mzima ,hujafa hujaumbika lakini walisema dunia mapito .
Kwaheri Tanzania ,kwaheri Mbeya
Kabisa naona hapo kuna kitu hakipo sawa, uchawi na ushirikina plus sheria kupindishwaSio mjuzi wa sheria kabisa, lakini, Pana hujuma hapo, malipo ya ajali hufanywa na bima ambayo huwepo kwenye chombo cha moto, kibaya nadhani huyo aliyegongwa ni mchawi mbaya Sana, hilo ni game!, inachezwa na mahakama, na wapuuzi katika kudhulumu.
Serekali izuie ujinga huu.
Umekula maharage ya wapi leoKama huyo mtu alikatwa mguu, basi apewe hela zake kama fidia.
Kinachosikitisha hapo ni neno 'mjane' lakini haki imetendeka.
Nimesoma tena hii komenti yangu hakika nimehuzunika Sana maana sijui niliandika nini KakaMkuu umeandika nini sasa?
Atafute wana sheria wa stay execution afu afanye revision kwenye kesi ya msingi, katika hali ya kawaida madai yatokansyo na Sheria ya madhara tort hayarisishwi kama ilivyo kwa makosa ya jinai, mtuhumiwa akifa anakua na makosa yakeMjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.
Akizungumza na Global TV Online, mjane huyo alisema kuwa baada ya ajali hiyo kutokea maeneo ya Mbezi Magufuli, mumewe alijitolea kuwapeleka hospitali dereva wa bodaboda na abiria, lakini abiria huyo alikataa na kusema kuwa atapelekwa na ndugu zake.
Hata hivyo, mumewe aliendelea kumhudumia dereva wa bodaboda hadi akapona.
Baadaye, walipokea wito kutoka kwa abiria aliyekuwa kwenye bodaboda, na alipokwenda kumuona alimlaumu kwa kutomfuatilia tena.
Mumewe alimueleza kuwa alimwomba kumtibu lakini alikataa, hivyo alidhani kuwa hakuhitaji msaada wake.
Abiria huyo akaomba alipwe shilingi milioni tano, lakini mumewe alikataa na badala yake alipokea barua kutoka kwa mwanasheria wa abiria huyo, akimtaka kulipa fidia ya shilingi milioni 200.
Mumewe aliomba suala hilo liende mahakamani. Shauri lilipofikishwa mahakamani, washtaki hawakufika siku ya kwanza, lakini mumewe alienda.
Kwa bahati mbaya, alipokuwa akirudi nyumbani, alipata ajali mbaya maeneo ya Mbezi Kibanda cha Mkaa na kufariki dunia.
Hivyo, walimuomba mjane huyo kuendelea na kesi, na hatimaye ikaamuliwa kuwa nyumba yake iuzwe kwa thamani ya shilingi milioni 35 ili alipwe fidia ya shilingi milioni 24 kwa abiria aliyekuja kuvunjika mguu, pamoja na shilingi milioni 10 za usumbufu.
Jambo hili linamuumiza sana mjane huyo kwani hana kazi, mumewe amefariki, na pia ana watoto wadogo.
View attachment 3252053
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo Machi 10, mwaka huu, ili alipwe fidia abiria aliyekuwa amebebwa na bodaboda kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na marehemu mumewe, na kusababisha abiria huyo kuvunjika mguu.