Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

Wewe ndo hujaelewa mkuu....watoto walitaka mama Yao apewe 50....lkn makubaliano ya awali ilikuwa 35...kwahiyo mahakama imebariki yachukuliwe makubaliano ya awali ambayo ni 35
 
Wewe ndo hujaelewa mkuu....watoto walitaka mama Yao apewe 50....lkn makubaliano ya awali ilikuwa 35...kwahiyo mahakama imebariki yachukuliwe makubaliano ya awali ambayo ni 35
Ebu weka nukuu ya hayo unayoyasema kama yalivyo tamko na jaji Mugeta.
 
Wazee wa kichaga wanaweka watoto wao katika mapambano mahakamani kisa Mbunyee. Yaani Mengi na Mrema walikosea sana kufunga ndoa na ma gold digers. Sasa wamewaachia watoto wao kazi........
 
Hii kesi haitaisha leo wala kesho mpaka wanazeeka

Maana watoto wakubwa wa Mengi wana miaka zaidi ya 50. Bado miaka michache tu wajiunge kundi la wazee
Mbaya zaidi hawana watoto. Inshort hapa Jack ndo mshindi maana watoto wa Jack ndo wataendeleza biashara. Watoto wa Mengi walitakiwa wazae.
 
jamani jackline ana haki kama mke wa marehemu,marehemu aliamua kuoa mwenyewe akiwa na akili timamu,sasa kama jack ni gold digger na watoto wake vipi yule wa mrema?
 
Mbaya zaidi hawana watoto. Inshort hapa Jack ndo mshindi maana watoto wa Jack ndo wataendeleza biashara. Watoto wa Mengi walitakiwa wazae.

Mengi na mkewe mkubwa walifeli sana katika malezi ya familia..

Hivi bila jack kuzaa na mengi.. utajiri ulikuwa unaenda kwa nani baada ya watoto wakubwa wa mengi kufariki. Maana magonjwa ya uzee yanawakaribia

Yaani tajiri unaruhusu watoto wako mpaka wanafika 25 hawajaoa wala kuolewa . Nini sababu za msingi, maana maskini tunasingizia tunajipanga ili tuhudumie mke na familia.

Kina mo dewji wameozeshwa na 22 tu. Watoto wa bakhressa wapo 7. Na wote wameoa mapemaa
 
Wazee wa kichaga wanaweka watoto wao katika mapambano mahakamani kisa Mbunyee. Yaani Mengi na Mrema walikosea sana kufunga ndoa na ma gold digers. Sasa wamewaachia watoto wao kazi........

Tatizo wanawake hamjui wanaume tunavyoteseka na upweke..

Pia watoto wanakuwa selfish sana kumzuia baba yao kuwa na mwenza kisa wao wapate urithi wa mali bila shida.

Yaani baba atafute pesa zake na bado ateseke kwa upweke kisa fulani apate urithi mwingii.

Hao watoto wa mengi wao wenyewe waligoma kuoa na kuanzisha familia sababu ya ubinafsi.. wanaona wenza wao watafaidika na mali zao.

Kumbe hawajui duniani tupo kwa muda tu
 
wanandoa mkiachana mkagawana malii je urithi wa mali za mwanaume akifariki WATOTO ZAKE WATAKUWA KWENYE LIST YA MGAO??? na je mali alizoacha akiamua zote awaandikie watoto na mke mdogo aliemuoa maana wale wengine watarithi za mama yao ni sahihi???

sema mali hizii mwisho wake ni mbaya sanaaa...JACK akae kwa umakini sanaa asiwe hata na rafikii wa karibuu.
 
kwa hiyo asilimia zile 65 angechukua JACK NA WATOTO WA MENGI HAWA WAKUBWA AU??
 
Yaani Mungu awalinde hao watoto wadogo wakue waoe na wazae watoto wengi. Bila hivyo hiyo biashara itakuja kufa kama ya kina Lehman brothers.
 
Kwani si anaishi tu mwanamke lakini asifunge ndoa. Sema wazee huwa wanashindwa kuresist mademu zao wakiomba ndoa. Kuna billionea mmoja kule France watoto wake walipinga ndoa ya baba yao kufungwa. Baba yao ni mgonjwa ila mwanamke aliyenae anaforce ndoa. Watoto waliweka zuio mahakamani. Tajiri anaitwa Jean Paul Guerlain. Ni owner wa kampuni za Guerlain. Wanatengeneza Perfum za luxe.
 
Jack ana watu wazito nyuma yake. Yaani hata kama mtu haujasoma sheria unaona kabisa hapa kuna uwalakini.
 
Mke wa Mrema basi alibet vizuri. Im sure yeye ndo alimwambia mzee wafunge ndoa. Na ikawa akafanya kila linalowezekana iwe mediatized.
 

Unavyokuwa mtu mzima unakuwa unaweka ukaribu na Mungu wako ili uende peponi.. sasa Mungu gani anakubali uzinzi..

Yaani usifunge ndoa sababu ya mali zako ulizotafuta mwenyewe zisichukuliwe. Yaani hela yako mwenyewe ikutese.

Mzee anapaswa awe mfano kwa jamii.. sasa mzee unaishi na kimada kizinzi jamii inakuonaje?
 
Mke wa Mrema basi alibet vizuri. Im sure yeye ndo alimwambia mzee wafunge ndoa. Na ikawa akafanya kila linalowezekana iwe mediatized.

Bila hata kumuomba ndoa ni heshima. Mimi tu kijana ili siwezi ishi na mwanamke kienyeji , Je akinifia ndani?

Halafu pia watoto wajue urithi ni gift tu. Sio lazima mali zote wapate wao. Mke anayenipa baba yao furaha ana play role kubwa kuliko wao watoto furaha wanayonipa. Why nijinyime furaha na hela ninazo
 
Sasa mfano Mrema,yule kwa kumuangalia tu hata jogoo alikuwa hapandi,ukizingatia alikuwa na kisukari. Sema kama ulivyosema mtu anaona hana cha kupoteza
 
Tatizo watoto inawauma maana hata mama yao anakuwa alichangia kupatikana kwa ile mali. Au basi Oa ila kunakuwa na mkataba kabisa unaosema hata ukifa mke hatokuwa na haki ya kurithi. Mfano mtu kama Billgate au Jeff wale hata ikitokea wanafunga ndoa zingine lazima kutakuwa na maandishi kuhusu mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…