911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
Eti gold digger ungeenda kuolewa wewe halafu baada ya kufiwa unaona tu watu wanazoa mali halafu wewe ukae kimya tu.Kwa iyo Jacky the gold digger kaangukia pua?!
Safi Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti gold digger ungeenda kuolewa wewe halafu baada ya kufiwa unaona tu watu wanazoa mali halafu wewe ukae kimya tu.Kwa iyo Jacky the gold digger kaangukia pua?!
Safi Sana.
Binafsi nawaonea huruma wale madogo mapacha...mungu awasimamieKwa taarifa jack anapata pakubwa kuliko mwanzo ila hii ngoma ndo Inakuwa mbichi ngoja wapalestine wajipange na jack nae na crew yake tuone mwisho wake.
Hili shauri lipo wazi. Mali isiyokuwa ya Mengi inatakiwa iondolewe kwenye mirathi yake ndipo mgawanyo mwingine ufanyike!
Mali zinabaki kwenye mirathi ya Mengi ambayo bado haijaamuliwa bado.Mpaka hapo bado shauri ni bichi.Kwa iyo Jacky the gold digger kaangukia pua?!
Safi Sana.
Hii ngoma ngumu sana aisee ,wakifanya zile asilimia 100 zote zigawanywe upya wapalestine wataondoka na uhai wa mtu ,Tupo hapa tutaonaBinafsi nawaonea huruma wale madogo mapacha...mungu awasimamie
Kuolewa hakukupi uhalali wa mali, mchango wako kwenye utafutaji wa hizo mali ndo unaokupa uhalali wa mali, ndo mambo ya kupigana risasi yanaanziaga huku huku. Zile kampuni kuna watu walishiriki kuzijenga from the ground japo Mengi ndo alisimama hapo mbele. Umakini unahitajika sana kwenye kufanya maamuzi.Eti gold digger ungeenda kuolewa wewe halafu baada ya kufiwa unaona tu watu wanazoa mali halafu wewe ukae kimya tu.
Unarejea sheria namba ngapi ya mwaka gani ili kuyapa maelezo yako nguvu?Kuolewa hakukupi uhalali wa mali, mchango wako kwenye utafutaji wa hizo mali ndo unaokupa uhalali wa mali, ndo mambo ya kupigana risasi yanaanziaga huku huku. Zile kampuni kuna watu walishiriki kuzijenga from the ground japo Mengi ndo alisimama hapo mbele. Umakini unahitajika sana kwenye kufanya maamuzi.
Watu tuu au watoto?Eti gold digger ungeenda kuolewa wewe halafu baada ya kufiwa unaona tu watu wanazoa mali halafu wewe ukae kimya tu.
Ni hivi mkuu...kuna mgawo ambao tayar wanandoa walikubaliana wagawane 2015 lkn hawakufikia tamati...ambapo marehemu mke WA mengi ilishajulika angepata asilimia 35 ya mali....lkn wapalestina wakatKa bimkubwa apate 50 kitu ambacho kinakiuka makubaliano ya awali....hapo haki ya marehemu mke mkubwa ni 35....inayobakia unarudi Kwa mengi tayar Kwa mgao!Hii ngoma ngumu sana aisee ,wakifanya zile asilimia 100 zote zigawanywe upya wapalestine wataondoka na uhai wa mtu ,Tupo hapa tutaona
Labda hapa nafikiria bi mkubwa akipata asilimia zake then wagawane Tena itakuwa poa. Kuliko zote waanze upya kwa sababu jack kamkuta mzee tayar yupo tajiri ila ninaona hapa wapalestine wanaingiza Tamaa kuleta mpaka asilimia 50 ili wale kwa mama yao na baba Tena .Ni hivi mkuu...kuna mgawo ambao tayar wanandoa walikubaliana wagawane 2015 lkn hawakusikia tamati...ambapo marehemu mke WA mengi ilishajulika angepata asilimia 35 ya mali....lkn wapalestina wakatKa bimkubwa apate 50 kitu ambacho kinakiuka makubaliano ya awali....hapo haki ya marehemu mke mkubwa ni 35....inayobakia unarudi Kwa mengi tayar Kwa mgao!
Watoto na mtalaka wa marehemu. Jack hajawazuia ila wanazichota kihalali au kwa mgongo wa kusema yule alikua baba yetu? Sheria zipo wazi zifuatwe. Kama ntuyabhaliwe sheria itambwaga inabidi akubaliane. Kama hao watoto sheria itawabwaga itabidi watulie.Watu tuu au watoto?
Naona mahakama inataka kurefusha shauri. Hii kitu ipo wazi na wala haina haja ya kuanza kurumbana mahakamani. Sijui kwa sheria zetu zimekaaje lakini kwa akili ya kawaida, mali isiyo ya marehemu haihusiki katika mirathi ya marehemu. Yaani huwezi kurithi kisicho halali yako!Umeelewa lakini !! Ni hivi palikuwa na Mali zilitaka kupigwa pasu kupelekwa kwa mke wa mengi wa mwanzo kama 50% then zinazobaki ndo wanagawane Tena .
Sasa mahakama haitambui hilo zote 100% zitagawanywa
Kuolewa hakukupi uhalali wa mali, mchango wako kwenye utafutaji wa hizo mali ndo unaokupa uhalali wa mali, ndo mambo ya kupigana risasi yanaanziaga huku huku. Zile kampuni kuna watu walishiriki kuzijenga from the ground japo Mengi ndo alisimama hapo mbele. Umakini unahitajika sana kwenye kufanya maamuzi.
Kweli mkuu....hiyo ndo itakuwa haki...kwakuwa marehemu kabla wote hawajafa walikubaliana hivyoLabda hapa nafikiria bi mkubwa akipata asilimia zake then wagawane Tena itakuwa poa. Kuliko zote waanze upya kwa sababu jack kamkuta mzee tayar yupo tajiri ila ninaona hapa wapalestine wanaingiza Tamaa kuleta mpaka asilimia 50 ili wale kwa mama yao na baba Tena .
Ngoja tuone yetu macho.
Sheria za mtaani na maamuzi binafsi. Unadhani kila jambo humalizwa kwa vifungu vya sheria? Ndo maana nasema umakini unahitajika pande zote ziondoke mahakamani na haki halali.Unarejea sheria namba ngapi ya mwaka gani ili kuyapa maelezo yako nguvu?
Tsh jifunze hapo. Mkishafika mahakamani maamuzi binafsi yanabaki moyoni mwako.Kama hujui sheria uliza wanaozijua wakusaidie kwa ukweli.
kisheria, hasa sheria za Mirathi kwa Tanzania, Kinachoangaliwa ni Mali alizoacha Marehemu na warithi wa Marehemu basi.
Nitatoa mfano. Mkikaa kikao cha Mirathi, cha kwanza mtajadili Mali alizoacha Marehemu na warithi wake. Sasa sifa ya warithi haitegemei umri na mchango wake kwenye mali za marehemu.
Warithi halali ,unaanza na Mke wa Marehemu, Watoto wa Marehemu na wazazi wa Marehemu. Sasa haijalishi huyo Mke umemwoa lini na ukiwa na mali kiasi gani. Kinachoangaliwa ni hadhi yake kama ni Mke wa marehemu basi.
Anaweza kuwa Mke umemuoa ndani ya mwaka mmoja na amekuta karibu mali zote umechuma mwenyewe, Ukifa anapata mgawo wake safi kama mrithi wa Marehemu....... Msichanganye mambo ya Mirathi na sheria za ndoa katika mgawanyo wa mali pale ndoa zinapovunjika.