Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

Mahakama yabatilisha makubaliano ya mgawanyo mirathi ya Mengi

Hii sio njia sahihi.

Kama una jumba lina thamani ya mil 400 uko, uza, weka pesa kwenye joint acount ya wewe na mkeo. Weka fixed deposit. Ukifa ndugu wanaambulia vijiko tu.

Shida mke wako anaweza kukuua pia ili azitumbue na ndugu zake ama ki ben 10.. maana pesa ni shetani
 
Hizi mali zinaweza kwenda namtu jamani. Mungu aepushie mbali
 
Na mm nimewaza hivyo hivyo, watakuwa wapalestina wa mchongo hawa
Wale OG wangeshamaliza chap kwa haraka
Wanataka kutokuacha ushaidi kwaiyo atakufa taratibu tu pasi na shaka yoyote wala kuhisia yoyote
 
Wanataka kutokuacha ushaidi kwaiyo atakufa taratibu tu pasi na shaka yoyote wala kuhisia yoyote

Unahisi jack ni kilaza. Na hii game anaicheza peke yake..

Hii ligi ina team work. Maana mirathi ya mengi ina zaidi ya bilioni 500.

Jack ana smart people kibao nyuma yake.

Hii ligi ni kubwa Jack kawekwa front tu. kuna watu wanaicheza kimya kimya nyuma yake kama ya Kina mwana Fa na Tigo enzi zile
 
"Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba..
Mali ya baba, inatutoa roho
Bora nikae peembeni
Ninusuru, roho yangu mimi"🎶🎷🎤

Shida, vita zote hizo nao watakufa na wataziacha.
 
Unahisi jack ni kilaza. Na hii game anaicheza peke yake..

Hii ligi ina team work. Maana mirathi ya mengi ina zaidi ya bilioni 500.

Jack ana smart people kibao nyuma yake.

Hii ligi ni kubwa Jack kawekwa front tu. kuna watu wanaicheza kimya kimya nyuma yake kama ya Kina mwana Fa na Tigo enzi zile
Kwenye pesa hata wasaidizi wanajitokeza wa kutosha...hapo haishangazi kukuta kuna jopo la Watu zaidi ya kumi wanapiga kazi.
 
Kama Mzee wenu umri umeenda akichukua nyumba ndogo tu mjiandae kisaikolojia maana kifuatacho ni mtifuano kwenye mirathi.

Labda Mzee machale imcheze agawe kabla hajafa, nayo sio rahisi haswa ukikuta tayari ana Watoto wengi na wakubwa.
 
Kwa iyo Jacky the gold digger kaangukia pua?!

Safi Sana.
 
Kwenye pesa hata wasaidizi wanajitokeza wa kutosha...hapo haishangazi kukuta kuna jopo la Watu zaidi ya kumi wanapiga kazi.

Watu wanajitolea tu. Mzigo watapewa wakishashinda kesii. Kesi kama hii hata mkopo unapewaaa tu mwenye kesi ili usikwame
 
Hii kesi hadi sasa nimeshindwa kuelewa kwa sababu ilisemekana Mengi na Mtalaka wake walishagawana mali zilizochumwa wakati wanandoa wapo pamoja na Mercy(mtalaka wa Mengi) hisa zake aliwarithisha wanawe Abdiel na Regina kwahiyo baadaye naye Mzee Mengi kwenye wosia wake aliwarithisha watoto aliozaa na Jacqueline na Jacqueline mwenyewe ambapo watoto wakubwa na baba ya mdogo(Benjamin Mengi) ndio wakafungua kesi kupinga wosia wa Mzee Mengi, lakini sasa kwenye hukumu hii naona kuna maelezo tofauti!
 
Kwa mzigo wa Mengi lazma risasi zitarindima tu.

Wakishindwa malizana mahakamani upande usioridhika ambao ni wa watoto wa Mzee ndio yatatokea yale yale kama ya yule dada mtangazaji kukutwa kafanywa vibaya maeneo ya kuelekea ofisini.

Anatumwa HITMAN tu anaenda kumaliza kazi in the likes of dada wa Cleopa Msuya kudadadek. Hao wachaga sidhani kama wana mda wa kuloga wakati ukimpa mtu million 50 tu anamaliza zoezi very proffessionaly.
Huyu dada sidhani kama ana hiyo IQ ya kurisk kukwapua jasho la watu ambalo yeye hakuwa sehemu ya kulitafuta. Kuna watu huenda wanamtumia. Tatizo la kutumiwa ni pale unapoachwa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom