lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tafakari ndio una mke na watoto, halafu unapitishiwa amri kama hio na mahakama ya kupimwa kama marinda bado yapo imara au vidume wameshatindua mshono!!!
Ukirudi home mnatazamanaje usoni na familia?
Ama kweli mungu hamfichi dhalimu!!!
Una picha zao? Watani zangu Wachaga imekuaje Tena?Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
View attachment 2594645
Tanzania tunaendeshwa na matukioThis is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Sure. Hata magufuri was not this way. Mama hana kipao mbele kabisa. Ushoga. Amna hata dalaja amejengaTanzania tunaendeshwa na matukio
Yaan inashangaza kwa kweli, ndo hii nchi imefikia huku? Ni maajabu mnooo.Uonevu tu.
Umuingizie mtu vidole kumpima, kama kuna unyanyasaji sidhani Km umepita kiwango hiki…Yaan inashangaza kwa kweli, ndo hii nchi imefikia huku? Ni maajabu mnooo.
Ni zaidi ya udhalilishaji haswaaa, haikubaliki hata kidogo.Umuingizie mtu vidole kumpima, kama kuna unyanyasaji sidhani Km umepita kiwango hiki…
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
View attachment 2594645
Ujuaji unao MwingiHii ni nchi ya wapumbavu,
Tuliwaambia hili ni lengo madhubuti la kuwachota akili liliandaliwa na serikali ili msiendelee kuhoji vitu vya muhimu
Huu upumabvu uliandaliwa kabla ya ripoti ya CAG, sasa mmeingia cha kike.....
Kaeni mkao wa kula ili mliwe vichwa.....