Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594645

Safi sana tukishirikiana kwa pamoja tutatokomeza ushoga nchini kwetu.
Tanzania bila ushoga inawezekana, tuutokomeze ushoga kwa njia yoyote ile.....
 
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Aisee, unajaribu kutetea ?
20230114_003317.jpg
 
Tafakari ndio una mke na watoto, halafu unapitishiwa amri kama hio na mahakama ya kupimwa kama marinda bado yapo imara au vidume wameshatindua mshono!!!

Ukirudi home mnatazamanaje usoni na familia?

Ama kweli mungu hamfichi dhalimu!!!
Hao waliofanyiwa hvyo serikali haijakurupuka Wanajua exactly wanachokifanya
Kevins,Phill cakes na noel ni mashoga wanaojidhihirisha waziwazi
 
Back
Top Bottom