Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Hata wewe ujiandae pia, yeyote anaweza kupimwa.
Mama ana piga kimya kimya..
Nadhani wakiaanza na hawa wanao jionesha na kufahamika na jamii...
itakuwa ni tishio kwa wengine.

Kwa hiyo hapo akina Kumbuka, akina, Aggrey wajiandae
 
Back
Top Bottom