Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Halafi kweli, ilikuwa inasemekana nae ni walewale!!

Kweli kulia kupokezana, wamtafutie mvunja kokoto akampime kwa uzuri!!
Yule hana marinda!

Labda amtafute Nabii Tito ambaye anadai alirudishiwa marinda!
 
Ingekuwa wa kwetu pwani, ningesema au watu wangesema, kwao wamasikini, alifanya au kuwa na mzungu shida, kwao Mali kibao, kweli ung'ese hauna dini Wala kabila, saingine ni tabia tu.
Wapo wawili na huyo kelvin ni wa hukohuki😂😂
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Noel anapimwa nini jamani si wamapoteza tu muda. Noel,Rio na Kelvin wote David Johnson alishawavuruga marinda miaka mingi
 
Tena anatakiwa Dr mwenye vidole vya namna hii[emoji2][emoji2]
IMG_20230410_182934.jpg
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Hii sio sawa
 
Hao wapuuzi wafungwe tu miaka 30 maana wanaharibu jamii ,huyo david na yeye apigwe mvua 90.

Hakuna haki za kibinadamu kufanya ufirauni hadharani ,kama wao ni mashoga wafanye kimya kimya huko sirini na si kuleta unyoronyoro mitandaoni.
Unaushahidi kwamba walifanya hadharani?
 
Back
Top Bottom