Danisamweswa
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 453
- 154
Hivi huyu Lizaboni ninani, ni Mtanzania? Manake sijawahii kuona hata siku moja akichangia hoja yeyote positively.
Si ajabu ukimwambia anakunya atakataa akuambie yeye hanyagi?
This is very serious. He is always negative in everything!
hahahahah maneno ya mtumishi lazima yatimiena waitishe tu,tumeshachoka afe beki afe kipa lazima wang'oke tu.
Leo Jumapili, wacha porojo, kuna mahakama ipi inayo fanya kazi leo Tanzania hii?
Hata mm hilo la Jumapili sijaelewa; leo wako kazini? Au hiyo SUO MOTO haina weekend!
kuna taarifa nimezipokea muda huu toka dar. Kuwa mahakama ya rufaa tanzania imeyaitisha (suo moto)majalada ya kesi zote za iptl ili iyapitie upya.
Haijaweza kufahamika nia au lengo hasa ni nini kwa mahakama hiyo kuyaitisha kwa muda huu.
Leo Jumapili, wacha porojo, kuna mahakama ipi inayo fanya kazi leo Tanzania hii?
Uko sawa ila embu tuambie wewe mtu wa hawa wezi (ccm) mbona hamna huruma, watu wanakufa kwa kukosa dawa nyie mnajinyakulia mabilion! Mungu awalipe sawasawa na matendo yenu, mtafikiri mnaishi milele, ole wenu!Leo Jumapili, wacha porojo, kuna mahakama ipi inayo fanya kazi leo Tanzania hii?
Hata mm hilo la Jumapili sijaelewa; leo wako kazini? Au hiyo SUO MOTO haina weekend!
Mahakama inajaribu kuokoa hadhi take. Kimsingi Watanzania hatuna imani ya mahakama ya Tz kutokana na kugubikwa na rushwa waziwazi. Waendelee kivyao si afadhali ya Bunge linalojitahidi kuhoji japo mafisadi wanawaziba midomo. Mahakama imekufa kifo cha mende
We kikongwe wewe acha ngeseu, mahakama haina weekend, kumbuka hukumu ya A.G V. Walimu, walimu walikuwa wamegoma na ilikuwa siku ya weekend, jaji Masatu alipohojiwa kuwa inakuwaje mahakama inafanya kazi hadi weekend alijibu kuwa, Mahakama haina weekend. acha ujinga ww.