Mbona unapotosha maana wakati maelezo yapo clear?Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.Mbona unapotosha maana wakati maelezo yapo clear?