Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Mkuu tunayaomba hayo majina ya mashahidi
Wapo wa aina mbili:
1. Watu halisi waliolishwa maneno

2. Ghost witnesses (mashahidi mizuka). Utawagundua kwa urahisi kwa maelezo ya ushahidi wao wa kufanana wakisema;

" ...Nilimsikia Tundu Lissu kwenye TV akisema, tutazuia uchaguzi, tutakinukisha kwelikweli, nikahamasika, mzuka ukanipanda, nikaripoti polisi na nikachukuliwa maelezo😛😛😛"​

Katika hatua hii, hawatakuwa exposed. Tutailetea misukosuko isiyo ya lazima JamiiForums yetu bure. Tusubiri kusikia sauti zao wakiwa mahakama kuu. And in the right time baadhi yao hawa "halisi" utawajua kwa majina yao, kazi zao na wanapofanyia kazi....

Hawa mashahidi mzuka, hatuwezi kuwajua kwa sababu hawapo, ni wa kutengenezwa na Nassoro Katuga akishirikiana na DPP wake...
 
Back
Top Bottom