Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.

Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
Yeah hapo ni kujaza watu wao halafu wa-CHADEMA wakija mahakama imejaa.
Umeona mbali sana.
 
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
18 August 2025

The Kisutu
Chief Magistrates Court
Dar es Salaam, Tanzania

The Magistrate's Court in Tanzania blocks live broadcast of Tundu Lissu's treason trial​


72592879_605-1-905x613.jpg

The Kisutu Resident Magistrate's Court, Dar es Salaam, has granted the Republic's prosecutor request to prevent the live streaming, broadcasting and distribution of the witness statements in the treason case against CHADEMA chairman, Tundu Lissu, until further notice.

The Republic filed the request to protect the identities of republic civilian witnesses with the aim of not jeopardizing their safety.

View: https://m.youtube.com/watch?v=g1PZynhePkA
The Chief Resident Magistrate of the Court, Franco Kiswaga, said that any person or media outlet that violates the order will be subject to appropriate action as it was a valid order of the High Court of Tanzania .
"Any person or news outlet or journalist who wishes to publish evidence of witnesses must submit a formal request to the court," said Judge Kiswaga.

In addition, the court has asked the Republic to ensure that before the evidentiary documents are read in court, they comply with the High Court's instructions by removing and editing witness names, home addresses, occupation, gender or any information that could lead to the witnesses being identified.
 
Mimi pia naamini lissu ana hatia lakini kama wakili nimesikiliza oja hakimu yuko sahihi
 
Yote hayo hayana maana,, shida ya watanganyika ni hukumu ya mwisho...
Akitacho mtu ndo kimpatacho...
 
Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

Baada ya kusoma maelezo kwa kifupi kule X nimegundua Waendesha Mashtaka walilenga kukwepa aibu na siyo kuwalinda mashahidi.
Hakuna ushahidi wa maana kuweza kumpata na hatia.
 
Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.

Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
Hawatafanikisha huo uovu wao. Mungu yupo upande wa haki
 
Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.

Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
Ooh!! Kwa hiyo ni mahesabu yatumika?? Probability
 
Back
Top Bottom