Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.

Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
ni kuhusu mashahidi wa kificho tu.
na hili lilishaombewa hadi mahakama kuu.
sasa hapo juu bwana mdogo anatengeneza nongwa as if watu ni wajinga
 
Ukienda ndani wamejaza mapolisi tu. Hatapewa nafasi ya kuingia ndani

Tunakwenda mahakamani kutafuta haki. Isipoonekana haki kupatikana huko hata kujiridhisha kuwa haipo huko nayo si ni sehemu ya maisha? Au?
 
Ngoja tuanze kuwaripoti chadema wanaokiuka amri hii. Meaning TV zote na digital platforms zote zikae kimya.

Shnzy type
 
Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

KANGAROO COURT, yaani Samia na magenge yake ya kidhalimu wametufikisha hapa? Hatutakubali asilani, tutafanya maandamano nchi nzima kila pembe ya nchi ili kuwafurusha hawa WAHUNI.
 
Hakuna mahakama siku hizi. Sasa hivi hata ukiwa na ishu na mtu bora ujichukulie sheria mkononi tu, polisi na mahakama ndo taasisi za hovyo kuliko zote serikalini.
Mkononi unaruhusiwa kupiga master bafuni tu, hapo sheria iko upande wako
 
Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

Case law ya OJ Simpson, Uchaguzi Kenya, Ya Yule Mwana riadha SA Oscar Pistorius , zilikuwa na mrejesho wa moja Kwa moja , kwanini hii, huu ni ukaguzi. Hata ya akina Hanspope tulikuwa na mrejesho wa magazeti, maana TV zilikuwa bado.
 
Back
Top Bottom