Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

Mahakama dhaifu hutenda kidhaifu
 
Wewe ndiye unataka kupotosha. Kwasasa watakaosikiliza ni hao tu walioko ndani na wakitoka nje hawatakiwi kuongea chochote.

Kitakachofuata ni kujaza watu wao mahakamani ili Chadema wasiwe na watu kule ndani.
haki gizani
 
Leo toka alfajiri mpaka sasa ni mvua tu hii ni ishara nzuri kwa lisu siku saba zijazo.
Na Kisutu ndio kijiwe cha kuchapa wahalifu mvua ya miaka jela. Commital ina baraka za Mungu, mtu anaenda kunyongwa, watu wanaonyongwa mara nyingi huwa wana knya pale wanapokaribia kukata roho
 
Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

Safi sana,nyumbu wamewezwa
 
Samia Mzanzibari amedhamiria kumuua Lissu Mtanganyika kwa kuwatumia Watanganyika.
Ili mshinde mnahitaji kuungwa mkono na watanzania kwa maana bara na visiwani acheni kueneza chuki za kikanda haitosaidia kitu
 
Mahakama imeanza kuwa takataka. Mnyongeni mtimize ushetani wenu. Hayo ya gizani Mungu atayaweka wazi. Zama za UOVU MAHAKAMANI.
AIBU AIBU AIBU. SHETANI AMETAMALAKI KWENYE MIHIMILI YOTE SASA.
SERIKALI ilimpiga risasi
BUNGE lilimtoa bungeni asiwe mbunge
MAHAKAMA inataka kufanya kazi gizani.kutimiza maovu.
(Mithali 3:33)
Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu,
Bali huibariki maskani ya mwenye haki.
 
Ukisoma code za jaji na mawakili wa serikl from mwanzo uanjua tu nexr ni nn....so hiki cha leo wengi walijua itakuwa hivi...
 
Wakuu,

Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata

===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"

Watanzania tumekwisha,tumerudi rasmi utumwani wa mkoloni mweusi.Wa mtaa wa manyasi ya kijani .Huamini ni wewe endelea kuamini unavyoamini.
 
Kama ww unaona Mahakama zina upendeleo mwingi!!!

kwanzia sasa fata Sheria za Jamhuri ili usijekujikuta upo chini ya Mahakama usizozipenda !!!

ukiwa uraiyani kichwa kinakuwa kikubwaa kelele nyingi siogopi Siogopi kitu.

Ukibwagwa Mahakamani unataka Dunia ijue matatizo yako. Fata Sheria au hatutaki kilio cha mtu mzima.
Sheria ipi sasa Lissu kavunja...
 
Ukienda ndani wamejaza mapolisi tu. Hatapewa nafasi ya kuingia ndani
Wanaona aibu huo utoto wao kusikika na kila mtu, ndio maana hawataki itangazwe kwani ni aibu kwa muhimili wa mahakama kwa mashahidi wa kutengeza.
 
Safi sana.
Nilikuwa nashangaa, walikuwa wanauza sura tu.bora wamefanya hivyo.
Uamzi mzuri.
 
Back
Top Bottom