Kufuata sheriabsio kuogopa mahakama zinazopendelea. Hapa naona unapandikiza woga wa kipuuzi. Ni hivi, Lisu hana tatizo na kesi, ila mahakama iwe huru na ifanye kazi yake bila kuingiliwa na yoyote. Sio kutuletea mashahidi wa kutengeneza kwa kesi ya kutaka kusujudiwa kwa viongozi majizi.Kama ww unaona Mahakama zina upendeleo mwingi!!!
kwanzia sasa fata Sheria za Jamhuri ili usijekujikuta upo chini ya Mahakama usizozipenda !!!
ukiwa uraiyani kichwa kinakuwa kikubwaa kelele nyingi siogopi Siogopi kitu.
Ukibwagwa Mahakamani unataka Dunia ijue matatizo yako. Fata Sheria au hatutaki kilio cha mtu mzima.
Anayesali novena huwa haongei na kuropoka acheni kudhihaki diniSisi tuendelee na NOVENA Mungu atajibu tu
Kama ww unaona Mahakama zina upendeleo mwingi!!!
kwanzia sasa fata Sheria za Jamhuri ili usijekujikuta upo chini ya Mahakama usizozipenda !!!
ukiwa uraiyani kichwa kinakuwa kikubwaa kelele nyingi siogopi Siogopi kitu.
Ukibwagwa Mahakamani unataka Dunia ijue matatizo yako. Fata Sheria au hatutaki kilio cha mtu mzima.
Rostam alishasema akamalizaChangamoto ni kuwa kila ombi la serikali mahakamani linakubaliwa na kila ombi la mshitakiwa linakataliwa kwenye kesi zote mbili.Hii inaendelea kuifanya mahakama kutokuwa chombo cha haki bali ni mwendelezo wa prosecution.
Kwa hiyo hapo hukumu ikitoka ndio wanatangaza au wanamhukumu kimya kimya tu bila watu kujua?Huu ni uamuzi uliotegemewa, hivyo si jambo geni. Hakuna jambo gumu kama kulinda hila.
Lissu anapojitetea anatoa elimu kwa umma.Duh wanaogopa nn hawa
Ni uzuni kubwa kwa historia ya nchi yetu..Wakuu,
Ni rasmi sasa hakuna updates zozote kuhusu hiyo kesi tutakuwa tunapata
===
"Pili uchezaji wa moja kwa moja au live streaming, utangazaji, usambazaji wa moja kwa moja mtandaoni au aina nyingine ya uenezaji wa moja kwa moja kwa umma yaani ukijumuisha mitandao ya kijamii au matangazo ya video wakati wa comital proceedings hii mahakama inavizuia hadi pale itakapotoa amri nyingine itakapotolewa na mahakama hii au mahakama kuu"
Kwa Hali ilipofikia maamuzi magumu yanatakiwa...Chadema toeni tamko kutotambua mahakama za nchi hii. Mbona mnachelewa?
Mahakama imeanza kuwa takataka. Mnyongeni mtimize ushetani wenu. Hayo ya gizani Mungu atayaweka wazi. Zama za UOVU MAHAKAMANI.
AIBU AIBU AIBU. SHETANI AMETAMALAKI KWENYE MIHIMILI YOTE SASA.
SERIKALI ilimpiga risasi
BUNGE lilimtoa bungeni asiwe mbunge
MAHAKAMA inataka kufanya kazi gizani.kutimiza maovu.
(Mithali 3:33)
Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu,
Bali huibariki maskani ya mwenye haki.
Sahihi naunga mkonoHakuna mahakama siku hizi. Sasa hivi hata ukiwa na ishu na mtu bora ujichukulie sheria mkononi tu, polisi na mahakama ndo taasisi za hovyo kuliko zote serikalini.
Hata sielewi, inatagemea wanaoiagiza mahakama wameagiza hukumu iweje.Kwa hiyo hapo hukumu ikitoka ndio wanatangaza au wanamhukumu kimya kimya tu bila watu kujua?