Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Hahaha.....dah. ya kweli haya?
 
Mambo yale aliyosema Rostam.

Hizi mahakama bwana ukiwa na Kadi tu zinakuogopa.

Angekuwa Mfuasi wa Ufipa angenyoooshwa
 
Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Ile nyumba ya engineer nani!
Kutwa kuvimba yake
Wasani tatizo wanaishi kwa kufake
Huyo sana sana madem wanamlia tu
Asione msambwanda huyoooo

Ova
 
Kwenye interview moja nilisikia anasign madeal ya 100M.

Sasa hapa alishindwaje kulipa deni angalau milioni 3 kila mwezi?
 
Ile nyumba ya engineer nani!
Kutwa kuvimba yake
Wasani tatizo wanaishi kwa kufake
Huyo sana sana madem wanamlia tu
Asione msambwanda huyoooo

Ova
Ndio maana tunawambia Vijana Kataa Mapenzi Linda Uchumi wako na Afya ya Akili.

Hawatuelewi.

Kwenye swala la Pesa hata kama unaingiza kiasi gani kama huzingatii matumizi na Kuacha Totozi hutoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…