Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Akiomba kesi isikilizwe pande zote mbili ili akubaliwe lazima atoe sababu za msingi
Kesi inasikilizwaje pande mbili kama ilikwisha anza sikilizwa ex parte ????

Huwa wanasema jamani eeeh mwenyewe kaibuka, huyu hapa, tuanze upya tufute ma proceedongs na ma submission na ma petition na ma ushahidi yooote yaliyo tolewa so far.... tuanze upya, ndo hivyo ?????

Ex Parte proceedings ndio zinafanywa hivyo ????
 
Haya ndio matatizo ya kupata pesa nyingi ukiwa bado umri mdogo.Bank hawawezi kuwa wajinga kiasi hicho kumkopesha mtu bila dhamana,vinginevyo kuna nguvu kutoka serikalini ilitumika,na dogo kwakuwa ana ka ushamba flani ka asili anaona kutokulipa ni ujanja,kumbe hajui hilo linaweza kuwa ndio anguko lake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…