kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Bilioni 1?🙆labda ya jalalaniPesa ndogo sana hiyo msanii kama harmonize ambaye mapato yake kwa mwaka ni zaidi ya bil 1 tuna wilaya ngapi hii nchi ? Zaidi ya wilaya 300 huko kote nyimbo zake zinasikilizaa
Mapato bilioni 1, mkopo wa milioni 300 miaka 5 kulipa hata robo umeshindwa