Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Mtandale hata mziki wake ukiisha ataendelea kupata hela kutoka kwenye investment alizofanyaThe guy is ahead of the time ana timu nzuri pia anajua destination yake ni ipi akurupuki
Naona yule jamaa atatawala hiki kiwanda cha music na maisha kwa muda mrefu Sana .
Smart
Humble
Financial intelligence
Good team work
Also the guy never get complacent -Ana njaa na MAISHA haridhiki
Bila shaka wameyamalizaKuna taarifa nyeti wabia wa runinga hawajapokea chao, kuna time walitaka kukinukisha vibopa chamani wakawasihi wayajenge kimyakimya.
Haya maneno aliyasema baba levoRajab ni mtata kwenye hela za watu, sifa kibao na ulimbukeni bado haujamtoka.
Nikikumbuka vile tulipewa pesa na tajiri fulani pale .... casino tugawane, jamaa alivyoleta tamaa kutaka kuchukua hela mingi kuliko sisi shenzi kabisa.
Hallelujah!!!
Classic mall iko wapi
Tafadhali usitaje majina ya watuWe sio gaby ,?
Juzi nimeona hascana anasema kiboko wa wachawi aachwe afanye kazi zake kwasababu yeye kama muumini wake anakosa huduma za kirohoYes ni black ila kaondoa "TINT".
Juzi nimeona hascana anasema kiboko wa wachawi aachwe afanye kazi zake kwasababu yeye kama muumini wake anakosa huduma za kiroho
Posh Kamchuna kdg tu. kajala ndo Mjanja sana amemchuna limbukeni mpk kashindwa kulipa mkopo😂😂😂Posh queen anakwamisha rejesho.aJamaa kanogewa
Ahaaaa kumbe alikuwa behind the scene,aiseee sikujuaHanscana na Mwarabu Fughter wamenyang'anywa tonge mdomoni.....Hanscana alikuwa ndiyo anarecord matukio yote ya kanisani na alikuwa analipwa mpunga mzuri tu,so lazima apige makelele maana ugali umeingia mchanga.
2047 kesho kutwa hapo. Kopa hiyo enjoy maishaUpuuzi kabisa mtu unakuta anatamba eti kazi ya ualimu ni kazi ya Laana,Sasa tangu nizaliwe sijawahi sikia mwalimu kafikishwa mahakamani Kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki au kauziwa assets zake Kwa kushindwa kurejesha mikopo ya benki.
Sasa Harmonize kashindwa kulipa M 100,Huu upuuzi,Sitaicha kazi ya ualimu kamwe,hapa navuta Muda nije niende nikavute mpunga M 32 nione mtu ananilaumu Kwa kutegemea mikopo , nijivinjari zaidi.Asante Mungu kwa kazi ya ualimu,Kiufupi huwezi toboa maisha bila kukopa ,kama unakopesheka kopa
We chizi nini unajuaje kama gaby ni jina lake?Tafadhali usitaje majina ya watu
Wengine sisi tunaona kawaida tuSasa mwanamke kama Kajala unalala na kuamka naye hata maisha yako yakiharibika unakuwa umepoteza nini?
Kajala ni mzuri jamani sio filter wala AI. Halafu ana aibu flani makes her even more beautiful.
Ningekuwa mwanaume mimi…au basi
Sio Bank, hawa wanaondoka na asset yako yoyote.Ushawahi ona mdaiwa anafungwa. Anakubali kulipa deni then analipa kidogo kidogo hivyo hivyo.
Yupo na mhe gani ?Mheshimiwa atamlipia
Kajala one and two tena zote ni range. Mwenzetu umetuma ka laki tu na bado. Unauliza chenji.
View attachment 3072826
View attachment 3072827
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019.
Mkopo huo uliokuwa na riba ya 18% ulielezwa na msanii huyo kama uwekezaji kwenye shughuli zake za kimuziki ikiwemo studio ya kisasa ya uzalishaji wa muziki na video, ulikuwa ulipwe ndani ya miezi 36 (miaka mitatu).
Na ulikuwa mkopo wa awamu mbili, ya kwanza ikiwa milioni 100 kisha awamu ya pili milioni 200 ambazo awamu zote alipewa na benki hiyo mwaka huohuo wa 2019.
Moja ya makubaliano ilikuwa (Harmonize) kufungua akaunti ya kibiashara katika benki hiyo kisha kuiweka milioni 100 na kuifanya akaunti hiyo kuwa akaunti yake kuu katika shughuli zake za kibiashara, takwa hilo pamoja na mengine ikiwemo marejesho ya mkopo kwa kila mwezi yalishindwa kufikiwa na Harmonize.
Baada ya usumbufu uliopitiliza wa ulipaji wa mkopo huo kutoka kwa Harmonize, CRDB walifikia uamuzi wa kwenda mahakamani. Uamuzi huo ambao mahakama ilitoa wito mara kadhaa kwa Harmonize, lakini Harmonize hakufika mahakamani. Na hata mahakama ilipomuomba kutoa maelezo (Written statement of defence WSD) hakufanya hivyo.
CRDB waliendelea kumkumbusha Harmonize kulipa mkopo kila mara na kila njia hadi zikiwemo jumbe za WhatsApp, mwanzoni mwa mwaka 2022 Harmonize aliandika barua kwenda tawi la benki hiyo lililopo Mlimani City akiomba kulipa marejesho kwa kiasi cha 3.3 milioni badala ya utaratibu uliowekwa wa 10.8 milioni kila mwezi wakati huo deni la mkopo likiwa 109,731,733.46/= CRDB walikubali ombi lake hilo ila akitakiwa kulipa 3.9 milioni badala ya 3.3 milioni aliyokuwa ameomba.
Harmonize alifanikiwa kupunguza deni hilo hadi kufikia kiasi cha 103,185,755/=
Baada ya hapo hakulipa tena hadi kufikia hukumu iliyotolewa 2/08/2024 ambapo msanii huyo ametakiwa kulipa kiasi chote kilichobaki katika mkopo, gharama za kesi na fidia ya milioni 10 na nyinginezo kama mahakama ilivyoona.
Chanzo changu na mimi,
Nifah.
Tulikuepo wote kwenye mgao. Tunapenda gambling kuliko mademu kiongozi.Haya maneno aliyasema baba levo