mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 727
- 2,004
Ishu siyo kufungwa mzee ishu kulipa tena chini ya mahakamaUshawahi ona mdaiwa anafungwa. Anakubali kulipa deni then analipa kidogo kidogo hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu siyo kufungwa mzee ishu kulipa tena chini ya mahakamaUshawahi ona mdaiwa anafungwa. Anakubali kulipa deni then analipa kidogo kidogo hivyo hivyo.
Hayo majengo wanayotupnesha huwa nafikiri ni yao kumbe no mikopo na kupangaIla Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Madeni sio ujanja Mkuu, angalia namna ya kuyaepuka au kupunguza.Upuuzi kabisa mtu unakuta anatamba eti kazi ya ualimu ni kazi ya Laana,Sasa tangu nizaliwe sijawahi sikia mwalimu kafikishwa mahakamani Kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki au kauziwa assets zake Kwa kushindwa kurejesha mikopo ya benki.
Sasa Harmonize kashindwa kulipa M 100,Huu upuuzi,Sitaicha kazi ya ualimu kamwe,hapa navuta Muda nije niende nikavute mpunga M 32 nione mtu ananilaumu Kwa kutegemea mikopo , nijivinjari zaidi.Asante Mungu kwa kazi ya ualimu,Kiufupi huwezi toboa maisha bila kukopa ,kama unakopesheka kopa
Acha kutisha watu wewe hao crdb ni wachumba tu kama wengineHarmonize kazi kuponda raha na wanawake kumbe fedha za mikopo, walinzi kibao kwa fedha za mikopo alafu halipi, kweli Mungu akunyime nyote akupe akili..!! Kwa CRDB, atalipa tena akiwa gerezani, mwache afanye utani
Hiyo fedha huenda ilisaidia elections za 2020 maana alisifiwa sana na MwendazakeMsanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019.
Mtu akiingia Tanzlii anaipata tu, mtandao wa mahakama unaoweka nyaraka mbalimbali za kesi, pamoja na hukumuNakala ya hukumu ninayo, ila sitoiweka hapa.
Koh koh kohJeshiii