Kuna watu na visiki vya mpingo!! huyu ZZK ni kisiki hawezekani, wakongoman noma sana!! ukienda kumkamata kwake unakuta ziwa tanganyika, ukimpelekea mchango wa birthday yake unamkuta kajaa tele!!
Hakimu ukiandika hukumu ZZK kafungwa mvua tano unashangaa inasomeka βZZK yuko huru kutukana yoyote na kupinga chochote huko Al Jazeera na instagram yake!!
Wabwari ni kabila la watu wabishiiii mno au ni mgoma huyu au mbembe? jamaa kiboko ana dawa kama zote!! nani anaota kuona ZZK kalala ndani japo one day akinyea ndoo? hiyo siku haipo!
Huyu ZZK nimemfuatilia hajawahi kulala mahabusu! ana siri nzito mno!! tumuache tu BanaCongo hawezekani!!!
Huyu Zana za Kilimo ZZK na Slow2 ni vijana wa zamani wenye umri mdogo waliozeeka kwa kujibobeza kwenye ubishi, ushakunaku, kuwananga wenzao na kupiga siasa za maji taka!!ukichukua watu wenye umri sawa na wao unashangaa wenzao ni watoto wabichi kabisa!