Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kwahiyo asiongee ukweli mpaka tarehe 29 May 2021?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Conviction then judgememt ndio utaratibu. Sasa kama anahatia hukumu gani ni sharti usitoe matamshi ndani ya mwaka mmoja? Mimi nahisi hakimu alikuwa haoni kilichoandikwa.Kwa hiyo amekuwa convicted na kupewa condition?
Hta mimi ndio maana nimeomba nakala ya Judgement mkuu ili tuisome hapa.Kama ana kosa kwa nini aachiwe huru kwa mashariti ya kutorudia kosa?
Mkuu kwenye practice sijawahi kuona conviction ya ajabu kama hii 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Conviction then judgememt ndio utaratibu. Sasa kama anahatia hukumu gani ni sharti usitoe matamshi ndani ya mwaka mmoja? Mimi nahisi hakimu alikuwa haoni kilichoandikwa.
Wakate rufaa ACt Na zittoMkuu kwenye practice sijawahi kuona conviction ya ajabu kama hii 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Halafu ujue kwenye practice hii ni conviction tayariWakate rufaa ACt Na zitto
Subiri hukumu uipitie. Utapata majibu.Mkuu kwenye practice sijawahi kuona conviction ya ajabu kama hii 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ubunge tena.?
😀😀😀😀😀 Kugombea Ubunge upi? Zitto hayumo
😀😀😀😀😀 Kugombea Ubunge upi? Zitto hayumoMbona wanazuia au wanataka kumpiga miezi 5 ndani ili asigombee Ubunge?