Mahakama yamuamuru Shilole kumlipa Mary Musa TZS 14M kama fidia ya kutokuhudhuria kwenye show

Mahakama yamuamuru Shilole kumlipa Mary Musa TZS 14M kama fidia ya kutokuhudhuria kwenye show

Aongee vizuri na "lips denda" atamlipia tu bila shaka. Ila kwenye list ya waliopitiwa akubali tu kuwepo.
 
Ccm IPO na bichwa upanga yupo. Tena anavyopenda kiki! Mbona anamlipia hiyo mapema tu.
Nyie ndo mtakuwa wauaji. Msiojulikana. Mna dalili zote za kuweka magomvi kwa watanzania. Wakati unalalwa unakuwa unaulizaga Dy..d ni Act Wazalendo Au CDM Au Ccm. Acha kutugawa kijinga. Siasa ni za walaji. Unadhani wanakupenda wee. Utakuwa zwazwa
 
Back
Top Bottom