Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

Mahakama yamuhukumu miaka 30 jela kwa kumbaka mama yake. Mtuhumiwa na mdhamini wake hawajulikani walipo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi.

Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea dhamana, wametoweka kusikojulikana ambapo hati ya kukamatwa kwao tayari imetolewa.

Imeelezwa mtuhumiwa alitenda kosa Julai 7, 2021, alikuwa akifanya biashara Mkoani Songwe, alirejea Iringa akafikia kwa baba yake ambaye anaishi nyumba tofauti na mama yake kutokana na kutalikiana.

Siku ya tukio mtuhumiwa alienda nyumbani kwa mama yake usiku na kuvunja mlango, akamtishia kwa panga mama yake kisha kumbaka.

Baada ya tukio hilo, mama mzazi alitoa taarifa na taratibu za kumkamata zikafanyika, inadaiwa alifanya hivyo kwa Imani za kishirikina kutokana na biashara zake kuyumba.

Hati ya kumkamata mtuhumiwa alitolewa Machi 9, 2022 lakini mtuhumiwa na baba yake hawajulikani walipo, kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa ataanza kuitumikia adhabu hiyo mara baada ya kukamatwa.

Source: Azam TV
 
Alishindwaje kumtongoza kawaida

Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna

Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
 
Alishindwaje kumtongoza kawaida

Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna

Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
Masharti ya mganga.
 
Huyo mbwa mjinga atafutwe na anyongwe mpaka afe alafu wakate kichwa wakakitupe katikati ya bahari.
WTH?
Usije na jibu la mojakwamoja tazama jamii yetu kwa jicho lingine achana kutazama jamii yetu kwa macho ya mihimili serikalini au kwamakanisa fungua ubongo wako
 
Maskini Mama wa watu daah mimba miezi tisa,nyonyo anabembea miaka miwili bado kusafisha kinyesi chake leo hii analipwa kiaina hio daah
 
Back
Top Bottom