Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kwa hiyo unajaribu kuniambia hicho kitu ni sahihi?Usije na jibu la mojakwamoja tazama jamii yetu kwa jicho lingine achana kutazama jamii yetu kwa macho ya mihimili serikalini au kwamakanisa fungua ubongo wako
Wewe unaweza kufanya hivyo?