Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana itampata popote alipo, akimbie tu!Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi.
Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea dhamana, wametoweka kusikojulikana ambapo hati ya kukamatwa kwao tayari imetolewa.
Imeelezwa mtuhumiwa alitenda kosa Julai 7, 2021, alikuwa akifanya biashara Mkoani Songwe, alirejea Iringa akafikia kwa baba yake ambaye anaishi nyumba tofauti na mama yake kutokana na kutalikiana.
Siku ya tukio mtuhumiwa alienda nyumbani kwa mama yake usiku na kuvunja mlango, akamtishia kwa panga mama yake kisha kumbaka.
Baada ya tukio hilo, mama mzazi alitoa taarifa na taratibu za kumkamata zikafanyika, inadaiwa alifanya hivyo kwa Imani za kishirikina kutokana na biashara zake kuyumba.
Hati ya kumkamata mtuhumiwa alitolewa Machi 9, 2022 lakini mtuhumiwa na baba yake hawajulikani walipo, kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa ataanza kuitumikia adhabu hiyo mara baada ya kukamatwa.
Source: Azam TV
...Kumbaka Mama Mzazi? Wangempa kifungo Cha Maisha Hayawani huyo!! [emoji35][emoji35]Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mama yake mzazi.
Hata hivyo mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 30 pamoja na baba yake Joseph Mkusa ambaye alimuwekea dhamana, wametoweka kusikojulikana ambapo hati ya kukamatwa kwao tayari imetolewa.
Imeelezwa mtuhumiwa alitenda kosa Julai 7, 2021, alikuwa akifanya biashara Mkoani Songwe, alirejea Iringa akafikia kwa baba yake ambaye anaishi nyumba tofauti na mama yake kutokana na kutalikiana.
Siku ya tukio mtuhumiwa alienda nyumbani kwa mama yake usiku na kuvunja mlango, akamtishia kwa panga mama yake kisha kumbaka.
Baada ya tukio hilo, mama mzazi alitoa taarifa na taratibu za kumkamata zikafanyika, inadaiwa alifanya hivyo kwa Imani za kishirikina kutokana na biashara zake kuyumba.
Hati ya kumkamata mtuhumiwa alitolewa Machi 9, 2022 lakini mtuhumiwa na baba yake hawajulikani walipo, kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa ataanza kuitumikia adhabu hiyo mara baada ya kukamatwa.
Source: Azam TV
Hueleweki. Umeisoma Kesi sawasawa?Alishindwaje kumtongoza kawaida
Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna
Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
,Tuhumiwa akikosa mdhamini ndio huwajibika. Wake upIna maana baba na mwana walishirikiana katika uhalifu, ndiyo maana wametoweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ShitHawa viumbe wamepagawa walah!! Wana matukio ya ajabu ajabu.
Shit my niggaAlishindwaje kumtongoza kawaida
Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna
Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
Mkuu jamaa hakuelewi kabisa, ila mm nimekuelewa. Jamii imeharibika kwa kweliNilikua nadhani hapa kujadiliwa lundo la walioridhia Hali kitaa na mahakamani hawaendi