Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kwa hiyo unajaribu kuniambia hicho kitu ni sahihi?Usije na jibu la mojakwamoja tazama jamii yetu kwa jicho lingine achana kutazama jamii yetu kwa macho ya mihimili serikalini au kwamakanisa fungua ubongo wako
Chuma uleteMganga
Marc brotherKwa hiyo unajaribu kuniambia hicho kitu ni sahihi?
Wewe unaweza kufanya hivyo?
Mkuu mtoto mbakaji aliwekewa dhamana na baba yake, wameona kesi nzito wote Wametoweka kusikojulikana, hukumu imesomwa pasipo wao kuwepo mahakamani,nacho waza.. hukumu ilitolewaje bila mtuhumiwa kuwepo mahakamani? kama alikuwepo mahakamani alitorokaje tena? sijaelewa hapa...
Duuh aiseAlishindwaje kumtongoza kawaida
Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna
Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
Nawe una laana kama ya huyo mbakaji!Alishindwaje kumtongoza kawaida
Wamama wakileo Hawa
Unamwambia lengo kutunisha mfuko fedha na utamgeia ruzuku yake baada yamfuko kutuna
Kwani leo kamshitaki mtoto lakini usikute wanaomtafuna niwadogo kiumri kuliko mwanae aliyemtafuna kwanguvu
Mkuu naona unajitahidi kutaka kuhalalisha haya mambo.AU na wewe ushawahi nini!!!!?!?Marc brother
Jamii yetu currently iko kushoto kulia Hilo limekua Jambo lakawaida mno lakini leo huyo kaenda shitaki ambao wameridhia kusex na wanao ni lundo mtaani
Cjasema nafurahia lakini nejaribu kutazama kwa undani hasa udongoni nakuishi matajairi na wafanyabiashara sio wote wengi wao ndo kazi zao hizo
sisawa usemalo nadhani unayoyoma kwakua ndohilo umelisikia na limefika mahakamani mie siko na mahakama Niko najamii nayoonaNawe una laana kama ya huyo mbakaji!
Nilikua nadhani hapa kujadiliwa lundo la walioridhia Hali kitaa na mahakamani hawaendiMkuu naona unajitahidi kutaka kuhalalisha haya mambo.AU na wewe ushawahi nini!!!!?!?