Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Tusionane watoto hii ilikuwa kesi au mmetumia tu Kodi zetu za bure hapo mahakamani?? Aisee MUNGU awasamehe Yani maana huwa inaniuma basi tu yani nyie watu hata hofu na MUNGU.
 
Et mbunge vit maalum asiekuwa na chama

Koo na we mwandishi ni mwanasiasa sio? Mbona chama ruzuku inapokea?
Hana chama maana alishatimuliwa uanachama pending rufaa yake tu ndio arudishiwe.

CHADEMA haijawahi pokea ruzuku na amethibitisha hivyo Katibu Mkuu Mnyika, kma kuna hoja kinzani waliomba muweke ushahidi maana kwa sheria za TZ burden of proof ipo kwa anayetoa tuhuma kma wwe.
 
episode one final.tusubili episode 2 mbunge vs chadema.sijui nayo ikoje mpaka Sasa.
 
Bwashee huyo si Mbunge wa Chadema alishafukuzwa na si mwanachama tena wa Chadema na mkutano mkuu utatia wino kuipinga rufaa ya COVID-19.
Mahakama ya kisutu imemuachia huru mbunge wa viti maalumu Chadema mh Halima James Mdee baada ya DPP kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yake.

Halima James Mdee alishtakiwa kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
..bado kesi ya Halima Mdee, Ester Bulaya, na wengine, ya kuwapiga askari magereza.

..na kesi 6 za Tundu Lissu sijui hatima yake ni nini.

..serikali/jamhuri walimpa passport mpya, na ulinzi wa polisi mpaka airport, alipoondoka kuelekea Ubelgiji.
 
Kama kapona hii basi hakuna atakayonasa!
 
Jiwe hatazifuta kesi za Lissu Mkuu bado ana usongo naye kumuita dikteta UCHWARA hivyo atazitumia mahakama kuhakikisha anamtia hatiani. COVID-19 ni Wabunge wa jiwe hivyo kesi zao zote zitafutwa.
..bado kesi ya Halima Mdee, Ester Bulaya, na wengine, ya kuwapiga askari magereza.

..na kesi 6 za Tundu Lissu sijui hatima yake ni nini.

..serikali/jamhuri walimpa passport mpya, na ulinzi wa polisi mpaka airport, alipoondoka kuelekea Ubelgiji.
 
Kwa wabunge wa Chadema Mdee ni kichwa sana,kapambana kwenye kesi yake mpaka haki imetendeka.
 
Back
Top Bottom