Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Uliona lini mwana ccm anafungwa?Kama kapona hii basi hakuna atakayonasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliona lini mwana ccm anafungwa?Kama kapona hii basi hakuna atakayonasa!
Huyo hata ukimuelimisha hawezi kuelimika maana akili zake bado zipo kwa chakubangaMbona pendekezo la adhabu ni kari sana kwa nini asielimishwe tu
Lisu na nabii Lema pamoja na yule Ngurumo ni wakimbizi!Mkuu Lissu alipoondoka baada ya uchaguzi aliondoka chini ya ubalozi
Fake news! Sio mbunge wa chadema!!Mahakama ya kisutu imemuachia huru mbunge wa viti maalumu Chadema mh Halima James Mdee baada ya DPP kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yake
Akiwa ndani ya CCM hawezi tena kuwa na machachari tena maana ccm wanatumia akili mbadalaWambakishie kesi walau moja kuhakikisha wanamdhibiti.
Vinginevyo anaweza kuanza "upyaaaaaaa" machachari yake.
Chakubanga ndio ana remote contol ya Ufipa.... Atakalo linakuwa!Huyo hata ukimuelimisha hawezi kuelimika maana akili zake bado zipo kwa chakubanga
Huyo ni zuzu tu wachana naye mkuuFake news!!! Sio mbunge wa chadema!!
Ni mbunge wa chama gani?Fake news!!! Sio mbunge wa chadema!!
Ok tembea kifua mbeereeeee maana mpo kwenye raiiitiiii tiraaakiiiiChakubanga ndio ana remote contol ya Ufipa.... Atakalo linakuwa!
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!Huyo ni zuzu tu wachana naye mkuu
Ni mbunge wa chama gani?
Hata Mwamba Mbowe anaripoti kwa chakubanga kama ulikuwa haujui!Ok tembea kifua mbeereeeee maana mpo kwenye raiiitiiii tiraaakiiii
Ndugai ni chama cha siasa?Mbunge wa Spika Ndugai!!
Ndugai ni chama cha siasa?
Ni mbunge wa chama gani?
Hata Mwamba Mbowe anaripoti kwa chakubanga kama ulikuwa haujui!
Mkuu Lissu alipoondoka baada ya uchaguzi aliondoka chini ya ubalozi