Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Wambakishie kesi walau moja kuhakikisha wanamdhibiti.

Vinginevyo anaweza kuanza "upyaaaaaaa" machachari yake.
Akiwa ndani ya CCM hawezi tena kuwa na machachari tena maana ccm wanatumia akili mbadala
 
Mtumikie kafiri ili hadhi yako ipande

Naona mzee mdee yupo na mchumba wake pembeni
 
Mkuu Lissu alipoondoka baada ya uchaguzi aliondoka chini ya ubalozi

..alisindikizwa na maafisa wa ubalozi, pamoja na walinzi wa jamhuri waliokuwa wakimlinda wakati wa kampeni.

..na kabla ya hapo jamhuri ilimpatia pasi mpya ya kusafiria kwasababu TL alikuwa anatumia pasi ya zamani.

..ndio maana najiuliza kwanini Polisi hawakumkamata; kwasababu inajulikana ana kesi 6 mahakamani, na zote zilikuwa zinaahirishwa kwasababu ya kampeni za uchaguzi.

..Je, serikali iliwaogopa mabalozi walioamua kuingilia kati suala la TL?
 
Back
Top Bottom