johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halima James Mdee hana machachari yoyote bali ni muigizaji mzuri!..wambakishie kesi walau moja kuhakikisha wanamdhibiti.
..vinginevyo anaweza kuanza "upyaaaaaaa" machachari yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halima James Mdee hana machachari yoyote bali ni muigizaji mzuri!..wambakishie kesi walau moja kuhakikisha wanamdhibiti.
..vinginevyo anaweza kuanza "upyaaaaaaa" machachari yake.
..well, anaweza kuanza kuigiza tena, na kuleta usumbufu bungeni na kwa watawala.Halima James Mdee hana machachari yoyote bali ni muigizaji mzuri!
Akishafunga ndoa yao na babu Tale atakuwa mwepesi kama Jesca Kafulila!..well, anaweza kuanza kuigiza tena, na kuleta usumbufu bungeni na kwa watawala.
..Wow!!Akishafunga ndoa yao na babu Tale atakuwa mwepesi kama Jesca Kafulila!
Analeta mazoea mabaya jukwaani.Mbona pendekezo la adhabu ni kari sana kwa nini asielimishwe tu
Halima ni mpare yaani dada yake mshana jr!..Wow!!
..Good for her.
..Ila tahadhari asije akatolewa KAFARA.
Kwa kule kwa malkia tunasema these areTusionane watoto hii ilikuwa kesi au mmetumia tu Kodi zetu za bure hapo mahakamani?? Aisee MUNGU awasamehe Yani maana huwa inaniuma basi tu yani nyie watu hata hofu na MUNGU.
Sema kwa wabunge Wa ccm,maana hayupo chadema.Kwa wabunge wa Chadema Mdee ni kichwa sana,kapambana kwenye kesi yake mpaka haki imetendeka.
Mkui samahani lakini,sijui kwa nini huwa nakushuku kuwa we ndo Ole Sabaya.Halima ni mpare yaani dada yake mshana jr!
Akishafunga ndoa yao na babu Tale atakuwa mwepesi kama Jesca Kafulila!
Hahahaaaa..... hahahaaaa...... Ole sabaya ameangusha mbuyu huko Machame!Mkui samahani lakini,sijui kwa nini huwa nakushuku kuwa we ndo Ole Sabaya.
Hahahaaaa..... hahahaaaa...... Ole sabaya ameangusha mbuyu huko Machame!
[/QUOTE
Mbuyu haujaanguka kamwe.
Kwanza una kesi ya kuvamia duka la mapazia hapa A town,ukidai upewe rushwa.
Alichaguliwa na watuSasa kafikaje bungeni?
Mwana ccm mwenzenu yuko huruMahakama ya kisutu imemuachia huru mbunge wa viti maalumu Chadema mh Halima James Mdee baada ya DPP kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yake.
Halima James Mdee alishtakiwa kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Aisee!Mahakama ya kisutu imemuachia huru mbunge wa viti maalumu Chadema mh Halima James Mdee baada ya DPP kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yake.
Halima James Mdee alishtakiwa kwa kosa la kumkashifu Rais Magufuli.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Huyo ni debe tupu tu anafaa kudharauliwa tuHalima Mdee siyo Mbunge wala Mwanachama wa CHADEMA.
MODS kwa nini mnaacha upotoshaji jukwaani. Mpigeni ban huyu johnthebaptist ili ajifunze na kuacha upotoshaji
Mkuu Lissu alipoondoka baada ya uchaguzi aliondoka chini ya ubalozi..bado kesi ya Halima Mdee, Ester Bulaya, na wengine, ya kuwapiga askari magereza.
..na kesi 6 za Tundu Lissu sijui hatima yake ni nini.
..serikali/jamhuri walimpa passport mpya, na ulinzi wa polisi mpaka airport, alipoondoka kuelekea Ubelgiji.
Mbunge wa NdugayeeeNi mbunge wa chama gani?
Hahahaaa Unapingana na hakimu Simba bwashee?Huyo ni debe tupu tu anafaa kudharauliwa tu