Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Tusionane watoto hii ilikuwa kesi au mmetumia tu Kodi zetu za bure hapo mahakamani?? Aisee MUNGU awasamehe Yani maana huwa inaniuma basi tu yani nyie watu hata hofu na MUNGU.
Kwa kule kwa malkia tunasema these are
Spuriously devised charges or fabricated charges or fraudulently devised charges. Kiswahili Cha uswazi tungesema chaji hazina mashiko.
Mzee Mdee angekua upande wetu mahakama ingefurika na ung'eng'e wa hali ya juu ungesikika hapo mahakamani. Today it was boring.
 
Mwana ccm mwenzenu yuko huru
 
Aisee!
 
..bado kesi ya Halima Mdee, Ester Bulaya, na wengine, ya kuwapiga askari magereza.

..na kesi 6 za Tundu Lissu sijui hatima yake ni nini.

..serikali/jamhuri walimpa passport mpya, na ulinzi wa polisi mpaka airport, alipoondoka kuelekea Ubelgiji.
Mkuu Lissu alipoondoka baada ya uchaguzi aliondoka chini ya ubalozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…