Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

Kwani alikuwa rumande?
 
Je, asingesalimu Amri na Kukubali kutumika na Tawala ( Mamlaka ) ya sasa ( kutokea Upinzani ) tena CHADEMA hii Hukumu yake ingetoka hivi kwa Kumkuta hana Hatia yoyote? Ni Unafiki mtupu na wenye Akili tulishategemea Hukumu kama hii Kutolewa labda Wapumbavu tu pekee ndiyo walikuwa hawajalijua hili tokea zamani.
 
Likely ndiyo maana siku Lissu alipo kamatiwa kwenye korido za ofisi za ubalozi na bahati watu wa ubalozi wakaona scenario mzima wakaamua kumfuata hadi pale central
 
Upo sahihi kabisa kiongozi
 
Kila sekta,inaendeshwa na jiwe,

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…