mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,050
Siku ukipata Kesi iwe ya kweli au kusingiziwa ndio utajua umuhimu wa WanasheriaKibatala ni aina ya wanasheria wa michongo,wao kazi yao ni kutafuta mapungufu ya kisheria ili kumnasua mteja wake kwenye kosa, lakini wakikutana na Mahakimu au Judge anae angalia Kama ya hayo mapungufu yana gusa kiini cha mgogoro,mara nyingi huwa hawaruhusu hayo Mapungufu kuchuka nafasi ya haki!!