Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

Hii inatokea kama ndugu wa mume ni wachovu ila kwa Erasto alikuwa na dada yake alikuwa yuko njema Australia. Na wazazi wake Erasto walikuwa njema.
Je Ndugu zake Yusufu (12 children) aliyetupwa porini ili araruriwe na Simba, baadaye akauzwa utumwani Misri kwa Mfalme Farao nao walikuwa wachovu?

Au mnadhani zile ni hadithi za Juma na Uledi?

Ndugu wangapi wa tumbo moja wanaua, wanasababishia Ukichaa na kutokomeza kabisa damu zao sababu ya mali?

Je Yakobo aliyemnyang'anya baraka za Baba Mzazi Ndugu yake wa damu Esau?

Jiongezeni kihekima mjue dunia ikoje kimaisha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Watakuwa hawajaanzisha familia hawa, ndio maana wanakuwa wagumu kuelewa.
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo; tusingekuwa na matatizo tunayoyaona
siku zote wakataa ndugu ni wale choka mbaya wazee wa uswahilini hawajui thamani ya kuwa na DNA mmoja mwanamke umekutana nae tu ukubwani muda wowote anakukataa nduguni watoto uliozaa nae wenye DNA moja na wewe
 
Back
Top Bottom