Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Maamuzi hayatolewi kwa hisia, bali kwa logic; mfano,Hivi wanasheria wanamteteaje mtu ambae wanajua ni muuaji
Nao si wataingia kwenye hatia ya hiyo damu .🤨
- Maziwa ya ng'ombe ni kwa ajili ya ndama, ndio;
- Na hayo maziwa yana virutubisho vya king'ombe ng'ombe, ndio;
- Kwa hiyo ndama akitumia yale maziwa, anapokea virutubisho vya king'ombe ng'ombe, ndio;
- Na wewe unatumia maziwa ya ng'ombe, ndio;
- Kwa hiyo na wewe umepata virutubisho vya king'ombe ng'ombe, ndio
- Ndio maana unafikiri king'ombe ng'ombe 😀😀