Tukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.