Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

mke kakodi hit squad kaua mme sababu ya Mali

mke kaua tena dada wa mme

KATAA NDOA

NDOA NI WIZI
Kmmk ataozea jela kumbavu snaa mwanamke aana mirohoo ya ajabu Hadi kuua ndugu kiss Mali HV hajui anaviacha vyote mpjuz sna

Lait ningekuwa jaji ningewashona ndani kwatia hatia Tena kunyongwa kbsaa
 
Tukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.
Mm naungana. Na wew anyongwe kbsaa [emoji41]
 
Kangaroo courts za dunia ya tatu, masikini ya Mungu, hazina uwezo wowote...

Mauaji yalitokea May, 2016

Mshakiwa akakamatwa miezi mitatu baadae, Agosti, 2016

Akasomewa mashtaka, kesi ikaanza

Yuko rumande miaka 9

Kesi inaendelea...
Uduwanzi huu
 
Kibatala ni aina ya wanasheria wa michongo,wao kazi yao ni kutafuta mapungufu ya kisheria ili kumnasua mteja wake kwenye kosa, lakini wakikutana na Mahakimu au Judge anae angalia Kama ya hayo mapungufu yana gusa kiini cha mgogoro,mara nyingi huwa hawaruhusu hayo Mapungufu kuchuka nafasi ya haki!!
Sahih kbsaa kibatala ni wa mchongo anatafuta kubranda jina lake

Mwanmke huyo akiachiwa atakuja kufanya madhara makubwa zaidi ya hapo afungwe
 
Sahih kbsaa kibatala ni wa mchongo anatafuta kubranda jina lake

Mwanmke huyo akiachiwa atakuja kufanya madhara makubwa zaidi ya hapo afungwe
Huo u-Dr wako ulisomea nini??SHERIA ni Taaluma kama Taaluma nyingine,ili aende chooni yeye na Familia yake ni lazima afanye kazi ya Utetezi maana ndicho alichosomea,acha kulaumu taaluma za watu!! Mahakama ni Chombo huru cha kutenda Haki,ndio maana hata ukikutwa ready handed unachinja mtu still lazima upelekwe Mahakamani,hautapelekwa Jela na kufungwa moja kwa moja kisa umekamatwa ready handed!!heshimu taaluma za watu
 
Kangaroo courts za dunia ya tatu, masikini ya Mungu, hazina uwezo wowote...

Mauaji yalitokea May, 2016

Mshakiwa akakamatwa miezi mitatu baadae, Agosti, 2016

Akasomewa mashtaka, kesi ikaanza

Yuko rumande miaka 9

Kesi inaendelea...
Brother, umezungumza kwa uchungu sana. Ndio nchi zetu hizi sasa tutafanyaje unafikiri?? Inasikitisha sana.
 
Hii kesi ukiifuatilia unaona kama watuhumiwa watashinda kesi na kuachiwa huru...

Ushahidi usio na shaka umekuwa ukipelea kwa kiasi kikubwa...
Hii kesi imekaa sana,huyo revocatus ni mshkaji tulikua tunakutana sana...ndio maza alimtumia kupanga nae hiyo issue,yani huyo mama kaplan yote hayo,kuna ushahidi mwingi sana
 
Kizuri kula na ndugu yako. Mkeo muda wowote anaondoka.
Ukishafikisha miaka 40+ ndugu hawana tija tena kwako, kwa sababu na wao wana familia zao, hawatapoteza muda kwenye harakati zako zaidi ya kutumia hela zako tu.

Huu utengano huwezi kuuvunja ''mke/mme+ watoto'' hawa ndio wa kwako wa kufa na kuzikana.
 
Tukiachana na technically za kisheria ambazo ndizo anahangaika nazo Kibatala kumsaidia mteja wake, ni wazi huyo mjane Miriam Steven ndio aliyemwua mumewe Erasto Msuya, baadaye akaja kumwua wifi yake kupoteza ushahidi maana inaoneka mdogo mtu anajua kila kitu kuhusu kifo cha kaka yake. Huyo mbwa naye ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa, huwexi kuangamiza familia ya watu, hukuolewa kwenda kufanya mauaji ila kuendeleza ukoo wa familia ya Msuya. Wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro wengi hawana utu wanajali mali ambazo wanaziacha hapa duniani. Angekosa nini angeendele kuioshi na mumewe? Hana akili hata kidogo, ni mpumbavu aliyepitiliza.
Waliomuua erasto walishahukumiwa huyo mama wala hahusiki,shida ilikua ushindani kwenye biashara ya tanzanite...mke yeye kaua shauri ya document ambazo annet alipewa na kaka yake ahifadhi,za shamba 10acre kisongo,plus nyumba baadhi
 
Ukishafikisha miaka 40+ ndugu hawana tija tena kwako, kwa sababu na wao wana familia zao, hawatapoteza muda kwenye harakati zako zaidi ya kutumia hela zako tu.

Huu utengano huwezi kuuvunja ''mke/mme+ watoto'' hawa ndio wa kwako wa kufa na kuzikana.
Mke wako unaweka guarantee kabisa eti atakuzika? Seriously? Mke? Mtu mmekutana ukubwani tu tena baada ya kuona mambo yako yamenona. Siku ukiwa mkubwa utaelewa umuhimu wa ndugu.

Kuna thread ililetwa humu mke kamkimbia mume kisa jamaa anaumwa hoi.
 
Na siku ya mauaji alikuwa Dar....

Na inavyosemekana Msuya mali, nyaraka zake nyingi alikuwa anamshirikisha Dada yake Aneth....Sasa inaonekana baada ya kifo cha Msuya ni kama Dada mtu alikuwa anaweka ngumu kwenye mali..

Cc tweenty4seven
Hakuepo dar,sema alikuepo wiki moja kabla kupanga mchongo,istoshe housegirl wa marehemu,alitoroshwa kabla ya mauaji ma kupewa 10m...yupo kama shahidi na mariam ndio alimpa hizo pesa
 
Back
Top Bottom