Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

Siku ukipata Kesi iwe ya kweli au kusingiziwa ndio utajua umuhimu wa Wanasheria
 
  • unajua maana ya kuthibitisha pasipo shaka?
  • huyo JAJI ambaye unasema kuwa haruhusu mapungufu kuchukua nafasi ya haki, ndio maana wakifika Mahakama ya Rufaa Huwa wanashinda Kesi.
 
Hakuepo dar,sema alikuepo wiki moja kabla kupanga mchongo,istoshe housegirl wa marehemu,alitoroshwa kabla ya mauaji ma kupewa 10m...yupo kama shahidi na mariam ndio alimpa hizo pesa
Una habari kwamba huyo Housegirl ( getrude peniel mfuru) Kibatala kasema kuwa sio yeye halisi bali ni police katoka Zanzibar kaletwa huku?
 
Kumbuka shahid bado hajafanyiwa cross examination na mawakili wa serikali kwa hiyo atarudishwa kwenye njia
Mawakili wa serikali hawafanyi cross examination kwa shahidi wao, Hilo haliwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…