Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Umeambiwa wakati wakikata rufaa Mahakama ilizuia akaunti za Kampuni ya Tigo, huelewi kusoma?
Zimezuiwa kwa sababu hawakupeleka objection, na objection waliyopaswa kupeleka ni kwamba kuna rufaa imekatwa na inasubiriwa kwenye mahakama nyingine tofauti na hiyo iliyotoa hukumu, lakini wao hawakupeleka objection juu ya kuziwa akaunti zao, na vielelezi vya rufaa na mawakili walikuwa nao, lakini hawakupeleka, sasa kosa la nani?
 
Hizi ndio hoja za kujadili humu, sio mtu anaropoka tu bila kuwa na hoja, big up!
 
Tigo walipaswa ku file third part notice ili kuwajumuisha hao cellulant ili wawajibike katika madai ya msingi na kulipa hilo deni ikibidi....
manake mkataba wa Tigo na Cellulant kina mwana FA hawaujui...
Haya mambo yalitakiwa yafanyike mwanzoni kabla hata shauri kuanza kusikilizwa....
 
Ambacho haujaelewa ninini wewe matako !?? Cellulant na baadhi ya makampuni mengine huwa Wana nunua nyimbo za wasanii na kuziuza kwa Tigo ..nachoongea Nina uhakika nacho cuz nimeshawahi kuwa karibu na Mx Carter na yeye Ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa nchini kampuni yake kuwa inafanya huo mchakato wa kununua nyimbo kwa wasanii na kuziuza kwenye mitandao ya simu ... So Ambacho haujaelewa hapo Ni kitu gani au unatafuta bahasha kinguvu !?
 
Wamkamate huyo hakimu afunguliwe mashtaka kwa kutoa hukumu isiyomuhusu. Nadhani mwana FA na AY hawana hatia.
 
AY nimekula nae sana nyama na bia kama msala umegeuka ngoja nikimbie mji mapema Kuna kutapishwa bia na nyama choma hapa
 
Bwn haraka haraka atapeleka tigo kajibarua kadooogo tu kenye muhuri wa kijani.....
kisha hao tigo watapita vile.....
mtabaki mnaulizana Ile Mata iliishia vp bila majibu....
 
Kina mwanaFA haki wanazo zote lije jua ije nvua haki ni yao.....
point ambayo iko hapa bilioni mbili walizolipwa sijui walithibitisha vipi.....
manake kwenye kesi za madai kuna kanuni moja muhimu /specific damages has to be proved...
hasara ambayo kina FA waliipata walipaswa kuithibitisha....
ukishindwa kufanya hivyo unaweza kulipwa kiwango kidogo cha pesa....
 
Wamkamate huyo hakimu afunguliwe mashtaka kwa kutoa hukumu isiyomuhusu. Nadhani mwana FA na AY hawana hatia.
Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
 
Kuna mdau humu alimzungumzia huyo hakim
stroke

Ova
Ngoja turudi nyuma kidogo mnakuwa wasahaulifu.....!!
kuna jamaa mmoja memba humu aliwahi kuleta malalamiko dhidi ya yule hakimu....
na akachimba mkwara lazima amng'oe
nadhani anaitwa mng'oakucha kama sijakosea jina...
(personally yule hakimu wa ilala namfahamu)
haikupita wiki yule hakimu akadedi..
 
Sure ....
👍
 
Kwa manufaa ya jukwaa pandisha huo uzi mkuu kunogesha mada.
 
👍
Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…