Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
Sasa hela nimeshatumia kwa amri halali ya bwana hakimu .
 
Kwahiyo hiyo nyimbo walishauza, sio mali yao?!! MwanaFa akadai haki juu ya asichokimiliki? 😂😂😂😂👏
 
Sio hasara tu, hata ukiweza kudhibitisha faida aliyopata huyo aliyetumia nyimbo yako, unaidhibitisha na unalipwa, maana ni yako
 
Ndio maana kuna rufaa....
jukumu la kwenye rufaa ni mahakama ya juu kurekebisha mapungufu ya kisheria yaliyojitokeza kwenye hukumu ya mahakama ya chini...
hakimu unaweza kumdaka kwenye rushwa tu...
sio kwenye reasoning.....
sijui kama nimeeleweka
Daktari wa meno anapoenda kufanya upasuaji wa ubongo na mgonjwa akafa, nani awajibishwe? Hospitali, dentist aliepasua kichwa bila kuwa na vigezo, au mgonjwa?
 
Hakimu na wateja wake walicheza faulo ili wapige pesa.. naona Tigo wamekataa kuwa vipofu wa kufikiri
Naona una roho mbaya sana hii ishu umeishupalia mno but huwafikii kwa maisha yao waliyonayo na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo najua utakuja kujitetea kuwa una kazi nzuri au una kipato kizuri ila ukweli hauna hadhi ya kuwafikia hao watu
 
Duu

Ova
 
Watakata rufaa, watashinda tena

Kukata rufaa ni bado sana kwasababu hakimu hajatoa hukumu/uamuzi wa hizo pesa/mali zirudishwe bali katika hatua za mwanzo amebatilisha tu hukumu ya awali ya mahakama ya Ilala, ila wakili wa tigo ndio amesema watalazimika kuiomba mahakama wawaamuru jamaa warudishe mpunga au wakamate mali zao. Kwahiyo kesi bado mbichi, vita ya kisheria bado haijaanza katika rufaa hiyo.
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa res judicata
"The matter have been decided amicably"
Hakuna room ya kufungua fresh case tena
 
Sasa Kama cellulant hawezi kuuza kwanini AY na MwanaFA wasingeenda kuwashitaki Cellulant kwa kuuza nyimbo wakati hawana uwezo wa kuuza.

Kwanini badala ya kwenda kuwashitaki na waliouza wanaenda kushitakiwa wanunuaji tu?

Mkuu unaujua mkataba ambao wasanii huingia na Hawa madalali wanaonunua kazi za wasanii ?... Mikataba wasanii wanaposaini huwapa hao madalali haki ya kuziuza hizo nyimbo popote.


Hii kesi ina Mambo mengi tutayajua hapo mbeleni amini nakwambia.
 
Nisaidie hapo mkuu...unamshtaki kwa kosa gani? na kwa kitumia sheria ipi?
 
Sasa kwanini wameambiwa warudishe hizo hela?.
Kesi itasikilizwa upya?
Ndiyo itasikilizwa upya kwenye Mahakama yenye uwezo was kusiliza hiyo kesi....Pesa wanatakiwa warudishe kwasababu hapo ni kama hayo maamuzi hayajawahi kufanyika..hivyo wanapaswa kurudisha pesa za watu kwani si halali yao tena...mechi inaanza upya bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…