Mwamba seems una masilahi na hii kesi umekomaa kinoma....Linda reputation yako kwa KUTODHULUMU JASHO LA WENGINE....
Mahakama ni kimbio la kila mmoja....
Unatumia CALLER TUNE za wanamuziki....unapiga pesa kwalo...wamelalamika unadai they tarnish ur image?!!!
Ok well if unasema madalali(CELLULANT) ndio waliotakiwa KULIPA (if so) why would you then paid following court verdict?!!!
Kwenye kipindi cha "Salama na"....kinachorushwa "EATV" Mwana F.A anakiri kuwa waliamua kuwashtaki Tigo badala ya Cellulant kwasababu walijua Cellulant hawatakuwa na hela ya kuwalipa....hili we unalizungumziaje? na kama unaona uongo kipindi kipo U tube...kaangalieNyimbo huwa ina jina unique na mmiliki unique, in this case nyimbo ni ya Mwana Fa uniquely na ina jina la ‘usije mjini’, a unique name, hivyo hata mauziano kutoka kwa Mwana Fa kwenda kwa Cellulant kama yapo yatonyesha explicitly hizo unique details, huwezi kulinganisha na TV ambazo zinatengenezwa identical sets milioni 100 na kuuzwa duniani kote, hazina uniqueness, huo mfano wako haupo kabisa inline na hiki tunachozungumzia.
Ahahahaha asee umeuaKwenye kipindi cha "Salama na"....kinachorushwa "EATV" Mwana F.A anakiri kuwa waliamua kuwashtaki Tigo badala ya Cellulant kwasababu walijua Cellulant hawatakuwa na hela ya kuwalipa....hili we unalizungumziaje? na kama unaona uongo kipindi kipo U tube...kaangalie
Ndiyo itasikilizwa upya kwenye Mahakama yenye uwezo was kusiliza hiyo kesi....Pesa wanatakiwa warudishe kwasababu hapo ni kama hayo maamuzi hayajawahi kufanyika..hivyo wanapaswa kurudisha pesa za watu kwani si halali yao tena...mechi inaanza upya bila bila.
Imekulaaa KWAKOO.Mpwaaaaaa hahahaaaaHela itarudi. Akina Wakili msando rudisheni pesa
Ukiwa CCM upo juu ya sheriaHela itarudi. Akina Wakili msando rudisheni pesa
Hahaha! Hawana makosa ila wanasema "The court is not your mother" unadhani kwanini kuna mawakili....je unadhani Wakili wakina mwana FA hakulijua hilo? Tena wanajua wanadeal na Kampuni kubwa kama Tigo ina Mawakili wanaojielewa....kifupi kina FA wamewekewa mazingira magumu ya kupigwa kuanzia kwa wakili wao...bongo ngumu sana ndugu.Lakini hivi Ni kweli huyo hakimu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?.
Mwana fa na ay kosa lao lipo wapi?
Warudishiwe baada ya kunyonya jasho la wasanii kupitia Caller tune zao?!!Hela itarudi. Akina Wakili msando rudisheni pesa
😲Ukiwa ccm upo juu ya sheria
I get your point lakini upande wa pili wa sarafu mbona haya makampuni ya simu huwa hayawalipi wasanii pesa kama hizo(billion2) kwenye kutangaza matangazo yao?Kimsingi Tigo hawana shida na hiyo pesa (kama utaangalia faida na mtaji wao kwenye biashara) lakini wanakomalia hiyo kesi ili kulinda legacy na reputation yao kibiashara, ambayo ndio inawavutia wamiliki wake kuendelea kuweka pesa za kwenye hiyo kampuni hapa Tanzania.
Hakimu hajatoa hukumu bado, kuhusu kurudisha pesa hayo ni madai ya wakili wa Tigo.Sasa kwanini wameambiwa warudishe hizo hela?.
Kesi itasikilizwa upya?
Basically you have a point, lakini kuna baadhi ya watu humu wanaodai wanaijua sheria wanasema jukumu la kujua mipaka ya majukumu ya kimahakama ni la wakili, hakimu halimuhusu.Lakini hivi Ni kweli huyo hakimu alikuwa hajui kuwa Hana uwezo wa kusikiliza hyo kesi?.
Mwana fa na ay kosa lao lipo wapi?
Hahaha! Hawana makosa ila wanasema "The court is not your mother" unadhani kwanini kuna mawakili....je unadhani Wakili wakina mwana FA hakulijua hilo? Tena wanajua wanadeal na Kampuni kubwa kama Tigo ina Mawakili wanaojielewa....kifupi kina FA wamewekewa mazingira magumu ya kupigwa kuanzia kwa wakili wao...bongo ngumu sana ndugu.
Hakimu hajatoa hukumu bado, kuhusu kurudisha pesa hayo ni madai ya wakili wa Tigo.
Kesi gani umesoma mkuu?..tunaomba nasi tuipitie...kama inawekana lakini.Duuh ebwana eeh.
Nimesoma hukumu ya huyo jaji wa mahakama kuu na hukumu nyingine tena kuhusiana swala hilo hilo,
Kuna uwezekano mkubwa kina AY wakashinda.