Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Well....

Hivi ni Mara ngapi mahakama inatoa maamuzi Kama hayo...na bado maamuzi ya kulipa huchelewa...
Najaribu kufikiria hiyo "window period" ya hao mawakili kukata RUFAA na UAMUZI wa wao kuwalipa....

Ok it's a saga...let's wait to see wanasheria wakichuana kisomi..
Mbona article inajieleza vizuri ...Mwanasheria anasema wakati Wana hangaika na kukata rufaa mahama ikawa imetoa agizo la Tigo kuwalipa walalamikaji

Yaani wee acha tu [emoji16]
 
Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Mahakama iliyotoa hukumu Ina makosa. Hao wanamuziki Wana makosa gani?
 
MIC wamefeli,hawakutakiwa kulipa kwanza wakati wameenda kukata rufaa higher court..

MIC huko ndani ni lazima kulikua na watu wamekula njama na hawa viazi akina AY walipwe fasta wagawane...

MIC hawakutakiwa kulipa chochote kabisa maana rufaa was on!

Plus,mtu fala ni mtu sio smart kwenye kitu fulani ila anaweza kua smart kwenye kitu kingine,nothing wrong with fala...

Na pia sio lazima niwapende FA na AY,silazimishwi kuwapenda...I can as well hate them!
🤣🤣
 
Na hizi kampuni zibadilike Sasa....

Unatumiaje CALLER TUNER(mwitiko wa simu) za msanii bila ya ruhusa yake...bila ya mkataba naye?!!!

Haya mambo ndiyo yanayorudisha nyuma wasanii na nchi yetu...

Wao makampuni wanakunja kiasi gani kutokana na "unyongaji huo"?!!!
 
Mkuu ukisoma hiyo hukumu mpya utaelewa ni kwanini hakimu katengua hukumu ya awali. Yani huyu alichoweka ni tone ya kilichomo kwenye ile hukumu
 
Sijui kwanini waafuta tu threads, kuna siku nimepost nauliza anayefahamu ubora wa shule flani, wakafuta hiyo thread pia. Yani sielewi wamekubwa na nini
Mkuu kwani humu hakuna RULES and REGULATIONS?!!
 
Back
Top Bottom