Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mbona article inajieleza vizuri ...Mwanasheria anasema wakati Wana hangaika na kukata rufaa mahama ikawa imetoa agizo la Tigo kuwalipa walalamikaji
Mbona article inajieleza vizuri ...Mwanasheria anasema wakati Wana hangaika na kukata rufaa mahama ikawa imetoa agizo la Tigo kuwalipa walalamikaji
Yaani wee acha tu [emoji16]Well....
Hivi ni Mara ngapi mahakama inatoa maamuzi Kama hayo...na bado maamuzi ya kulipa huchelewa...
Najaribu kufikiria hiyo "window period" ya hao mawakili kukata RUFAA na UAMUZI wa wao kuwalipa....
Ok it's a saga...let's wait to see wanasheria wakichuana kisomi..
😲🤣Mi Ningekuw mwana fa nachukua kama milioni 200 hivi naenda kuhonga huyo jaji akitoa hukum ingine niwazile tena tigo
Mahakama iliyotoa hukumu Ina makosa. Hao wanamuziki Wana makosa gani?Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Mzee wa Harlem mtu m'badi sana 🤣🤣Halafu kuna milamba matako humu ilisema hawa mafala walishapewa hiyo hela...
Masikini wale
Tufanye hawana makosa sasa lakini endapo Tigo wakishinda kesi pesa inatakiwa irudiMahakama iliyotoa hukumu Ina makosa. Hao wanamuziki Wana makosa gani?
Ila wajumbe walimpiga spanaHajaanza vibaya.. bila hela za tigo ubunge asingeupata..unajua wajumbe walikula bei gani kila mmoja? Yeye mwana fa kazitumia hela za tigo kama mtaji.. kwa mshahara wa mbunge anazilipa kidogo kidogo mpaka anamaliza deni
🤣🤣MIC wamefeli,hawakutakiwa kulipa kwanza wakati wameenda kukata rufaa higher court..
MIC huko ndani ni lazima kulikua na watu wamekula njama na hawa viazi akina AY walipwe fasta wagawane...
MIC hawakutakiwa kulipa chochote kabisa maana rufaa was on!
Plus,mtu fala ni mtu sio smart kwenye kitu fulani ila anaweza kua smart kwenye kitu kingine,nothing wrong with fala...
Na pia sio lazima niwapende FA na AY,silazimishwi kuwapenda...I can as well hate them!
Pecuniary jurisdiction mkuu.Monetary jurisdiction
Mkuu ukisoma hiyo hukumu mpya utaelewa ni kwanini hakimu katengua hukumu ya awali. Yani huyu alichoweka ni tone ya kilichomo kwenye ile hukumuNa hizi kampuni zibadilike Sasa....
Unatumiaje CALLER TUNER(mwitiko wa simu) za msanii bila ya ruhusa yake...bila ya mkataba naye?!!!
Haya mambo ndiyo yanayorudisha nyuma wasanii na nchi yetu...
Wao makampuni wanakunja kiasi gani kutokana na "unyongaji huo"?!!!
Wameshirikiana na mahakama ndogo kuchota pesa za tigoNimesoma bandiko,sasa kama Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kufanya hivyo tena mpaka na hukumu ikatoa,hapo kosa ni la nani? kwanini kina Mwana FA watishiwe kushikwa mali zao? hapo ndipo nilipotaka ufafanuzi wa kina.
Hakimu hatakiwi kukwambia kuwa haina mamlaka, ni wajibu wako wewe Wakili kujua jurisdiction ya mahakama.Mh!
Hapo kwenye kuzilipa.
Hakimu pia inabidi awajibishwe mana yeye ndio alitoa hiyo hukumu inamana hakujua kama mahakama yake haina mamlaka ya kuisikiliza hiyo kesi.
Mkuu kwani humu hakuna RULES and REGULATIONS?!!Sijui kwanini waafuta tu threads, kuna siku nimepost nauliza anayefahamu ubora wa shule flani, wakafuta hiyo thread pia. Yani sielewi wamekubwa na nini
Alitumia nguvu nyiningi sana kupata ubunge kumbe ni pesa za tigoFA kaanza vibaya "utumishi".