Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

Msando aliwahi kukamata Ac za tigo kabla ya rufaa,hii case kuna rushwa na mikono ya wakubwa...hakuna case ambayo haina rufaa tena kwenye hukumu ya mwanzo tu
 
Unatujazia pumba tu
 
Ulitegemea msando tapeli ashinde kesi bila kuhonga?hana historia ya kushinda kesi bila rushwa sasa mgao unamtokea puani chawa wa ccm.....yani lazima degedege limpate halafu mama DI melo hajui kuremba kesi wala kula rushwa yao
Hapo Msando hana shida...hili alilifahamu litakuja...nawaonea huruma vijana waloingizwa mjini maana watalipa peke yao...migao mingine hairudi.
 
Exactly my point, aliyefanya kosa ni hakimu na mahakama yake, akamatwe na afungwe kwa kukiuka sheria, mwanaFa kapeleka malalamiko na wakamsikiliza, yeye MwanaFa agomee kwamba wasisikilize?
Hakimu hashitakiwi hata siku moja kwa maamuzi anoyatoa,hata yawe mabovu kiasi gani,labda kama unaweza kuprove rushwa.
 
Msando aliwahi kukamata Ac za tigo kabla ya rufaa,hii case kuna rushwa na mikono ya wakubwa...hakuna case ambayo haina rufaa tena kwenye hukumu ya mwanzo tu
Kwanini hao TIGO wasingekwenda MAHAKAMANI kuzuia kukamatwa mali zao?!!!

Hiyo ni kesi...iweje UPANDE wa wakili Msando uwe ACTIVE na haraka kuliko huo upande wa walalamikiwa ilihali walikuwa na mawakili?!!!

Kwa hiyo huo upande mmoja ndio wana "CHEDA" sana za kuhonga kuliko hao "wengine" eee?!!
 
Dah, na jamaa walishapiga hela zote kwa safari za kuizunguka dunia kila wiki, kila mwezi, kila mwaka😀
 
Umeambiwa wakati wakikata rufaa Mahakama ilizuia akaunti za Kampuni ya Tigo, huelewi kusoma?
 
Nafikiri kina FA watashinda tena,maana hoja iliyotengua hukumu ni jurisdiction na wala sio kwamba Tigo hawakutumia caller tune ya kina FA ..so madai ya msingi bado yana mashiko kama kuna ushahidi wa kuridhisha

ni sawa na kusema mtu amekamatwa ugoni then mshenga akasolve issue kwa kuamua talaka itoke..baadae mke akapinga kuwa mshenga hana mamlaka ya kuamulia talaka bali sheikh..madai ya msingi ni ugoni na sio muhusika alieamulia kesi
 
Msando ni bushlawyer tunamjua,hajawahi shinda kesi bila kuhongwa....alikua mwanasheria wa exim bank arusha akawa anakula pesa za washtakiwa tu exim wakasanuka na kumtimulia mbali
Anapenda kutumia short cut....
in a long run kesi zinakuja kumchapa
 
Huyo jamaa nae ndio miyayusho,unaanzaje kutaka kumuazima mtu hela na hakujua? Huko ni kutafutia watu lawama tu.
 
Ushaligeuza kuwa suala la kishabiki tena?
 
Ndio maana mimi naonaga Mahakamani hakunaga kama haki kama inavyosemwa.
Maisha siyo vitabu ndugu yangu kama wengi wanavyodhani....haki mbinguni tu,duniani humu unaweza tamani kufa, kama huna pesa unaona kabisa haki yako ikinyang'anywa na huna pakwenda.
Afadhali kidogo kesi za Mahakama kuu ila za huku chini ni uchafu mtupu...Mara nyingi hakuna haki ni pesa tu.
 
wataalamu wa kunusa tunasema hivi, wakili wa tiGo ameongea na Washitaki kuwa ataishawishi tiGo kukata rufaa halaf atashindwa kesi ili wasanii walipwe 4 Bilioni ili wamgawie yeye (wakili wa tiGo) 1Bilioni halaf wasaniii wabaki na 3Bilioni.
halafu mchezo utakua umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…