Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

🤣🤣🤣
Yaani issue sensitive na confidential ya "watu" kupiga...unuse wewe?!?!

Looh...kweli CONSPIRACY THEORIES are not factual....

Hongera mnusaji..🤣
 
Hajaanza vibaya.. bila hela za tigo ubunge asingeupata..unajua wajumbe walikula bei gani kila mmoja? Yeye mwana fa kazitumia hela za tigo kama mtaji.. kwa mshahara wa mbunge anazilipa kidogo kidogo mpaka anamaliza deni

Umekurupuka.

FA hakupitishwa na wajumbe, alikuwa mshindi wa pili. Alipitishwa na kamati kuu ya CCM
 
dah ila we jamaa inaonekana pichani unakichwa kikubwa lakini mgumu wa kuelewa asee
 
Watakata rufaa, watashinda tena
Ninaamini wakikata Rufaa na kujenga hoja vyema watashinda kwa kuwa Jaji amejieelekeza vibaya kutafsiri Sheria hizo mbili, Sheria ya haki miliki (kifungu cha 4) na ya Mahakama na Sheria ya Mahakama za Mahakimu (kifungu cha 40 (1)(b) ), Mahakama ya Wilaya kwa kesi za Hakimiliki ina uwezo huo wa kusikiliza madai ya fidia ya kiasi chochote kile.

Uhalali wa Mahakama ya Wilaya umeelezwa katika kifungu cha 40 (1) (b) na Kifungu cha 40 (2) cha Sheria ya Mahakama za mahakimu. Kifungu kinasema kama kuna sheria imeipa mahakama ya Wilaya mamlaka pekee ya kusikiliza shauri, basi itasikiliza kwa dai la kiwango chochote.

Kifungu hicho cha 40(2) kinaeleza ifuatavyo:





Sheria ya HakiMiliki sasa yenyewe imesema kuwa madai ya uvunjwaji wa hakimiliki yatasikilizwa na Mahakama ya Wilaya, ambapo itakuwa na mamlaka ya kutoa amri ya mdai kulipwa kiasi chochote kile anachoona kuwa anafaa kulipwa.

Kifungu cha 36 cha Sheria ya Hakimiliki.


Ila ngoja mpambano uendelee, Mahakama ya Rufaa itoe tafsiri sahihi.
 
Haya makampuni ya SIMU yaache tabia ya kutumia CALLER TUNE ya wasanii bila ya KUWALIPA....

Hakika hayo ni mwendelezo wa UNYONJAJI dhidi ya wavuja jasho wa taifa hili ...
 
Kampuni za simu zinapata FEDHA nyingi mno kupitia biashara zao...leo bado wanataka watumie CALLER TUNE za watu bila ya KULIPA...yaani watumie BUREEE....kana kwamba wao hutoa huduma zao BURE....

FA na AY walikuwa sahihi na wako sahihi kupambania JASHO LAO.....
 
wanaweza wakashinda ila kiwango cha madai kikapunguzwa,wanaweza wakaambiwa walipwe mil 500,kama walishakula itabidi warudishe
 
Duniani kote makampuni hufanya ndivyo sivyo KIBIASHARA NA KIMIKATABA....

Leo kaka zetu wameamua kupambania haki zao kama njia ya kutufundisha na sisi wadogo zao tunawaona WAKOSA?!!!

Looh kweli MBONGO anafurahi kumuona mwenzake akiwa APECHE ALOLO TU....
 
Kazi wanayo

Waweza kukuta huyo hakimu aliyepitisha hiyo hukumu Alifanya hivyo ili nayeye apige mpunga. Sasa mpunga unakwenda kuwatokea puani [emoji849][emoji849]
Pesa zipo, maana mmoja wao tayari ni mbunge hivyo watalipa tu kama itahitajika.
 
Hakimu hatakiwi kukwambia kuwa haina mamlaka, ni wajibu wako wewe Wakili kujua jurisdiction ya mahakama.
Wale ambao huwa tunasikia hawakutakiwa kujibu chochote kwakuwa mahakama hio haina mamlaka ya kusikiliza shauri lao huwa wanaambiwa na nani wasijibu?

Ina maana hakimu yeye anatwanga tu hata kama anajua mahakama yake haina mamlaka?
 

Unaumia jamaa kupiga hela ka wamekuibia mke. Umasikini mbaya sana.

Kama mbingu ipo naamaini watajaa matajiri tu.
 
Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Sasa mkuu hilo kosa linawahusu hao wasanii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…