Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣Achana naye mwehu huyo, naweza kuamink huyu jamaa ni msomi lakini atakuwa na trojans hasa kwenye medulla shenz kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Achana naye mwehu huyo, naweza kuamink huyu jamaa ni msomi lakini atakuwa na trojans hasa kwenye medulla shenz kabisa!
Ni sawa, lakini mi kosa la nani? MwanaFA na AY ndo walipelekea mahakama ya wilaya ifanye iliyoyafanya?Mahakama iliyosikiliza hiyo kesi haikupaswa kusikiliza kesi inayozidi madai ya kiwango cha million 300 kisheria au haujapitia bandiko vyema mkuu !?
Ahahahaha jamaa muandiko wake ulikua burudani sana, alikua anauelewa mwenyewe.Halafu alikuwa mtu wa swala tano;
Ushaambiwa kesi kulikua na mikwara pia, au unataka tuongee vyote?Ndio najua, sasa kwanini mahakama iliamuru tigo walipe na sio Cellulant inaonekana kuna kitu kipo katikati
Hao tigo ukute ndio haohao Cellulant Ltd
Asee, wewe utafungwa kwa kuongea uongo.Hii kesi walishindwa tangu mwanzoni kabisa. Akaja Alberto Msando akanunua kesi wakacollude na mahakimu na watu wa Tigo kesi ikaisha wakavuta hela fasta yaliyoendelea mnajua. Nadhani watu wa Tigo walidelay kuappeal ili hela zilipwe wasepe zao, ukifuatilia unaweza kuta wote waliokuwa wanahusika upande wa Tigo walishatimua zao
Time will tellAsee, wewe utafungwa kwa kuongea uongo.
"Na ikibidi wafungwe"Aisee! Kina MwanaFA hela zao si walilipwa kwa hukumu ya Mahakama? Sasa wao kosa lao nini hapo mpaka kusema mali zao zitakamatwa?
Wataalamu wa sheria mje hapa kutusaidia kuelewa hili jambo.
Makampuni ya simu huwa hayaingia mkataba na mtu(yaani msanii mwenyewe) bali huingia mkataba na kampuni (ambayo husimamia kazi za msanii). Na hicho ndicho Tigo walichokisema kwenye hii kesi. Tigo wanasema zile ringtones waliuziwa na kampuni ya Cellulant Tanzania Limited.Na hizi kampuni zibadilike Sasa....
Unatumiaje CALLER TUNER(mwitiko wa simu) za msanii bila ya ruhusa yake...bila ya mkataba naye?!!!
Haya mambo ndiyo yanayorudisha nyuma wasanii na nchi yetu...
Wao makampuni wanakunja kiasi gani kutokana na "unyongaji huo"?!!!
Well ...Makampuni ya simu huwa hayaingia mkataba na mtu(yaani msanii mwenyewe) bali huingia mkataba na kampuni (ambayo husimamia kazi za msanii). Na hicho ndicho Tigo walichokisema kwenye hii kesi. Tigo wanasema zile ringtones waliuziwa na kampuni ya Cellulant Tanzania Limited.
Walichokifanya wakina AY& FA ni kuwashtaki Tigo badala ya kuishtaki kampuni iliyoipa Tigo haki ya hizo ringtones. Na hili halikufanywa kwa bahati mbaya, AY&FA walijua kuishtaki ile kampuni iliyoingia mkataba na Tigo wangeweza kushinda kirahisi (ikiwa kweli hiyo kampuni hawakuiangia nao mkataba) lakini wasingeambulia hata senti tano (haiwezi kuwa na hiyo pesa), lakini kuishtaki Tigo wangelipwa tu pesa hata kama sio zote wanazozidai (maana wangeweza kuitwa haraka chemba ili kupozwa na kuifuta kesi. Why? Tigo ingetaka kulinda reputation yake kwenye jamii).
Yote kwa yote, huu ni mchezo wa mawakili kupiga pesa za makampuni. AY&FA huenda wametumika tu kama platform ya wanasheria wajanja kuvuta mpunga. Sasa deal likienda mrama, FA&AY wataangushiwa jumba bovu.
Kiujumla hii kesi naona mbichi sana, kuna mengi nyuma ya Pazia huenda tutayajua.
Kwa vyovyote vile, Tigo hawatakubali kirahisi kukubali kushindwa katika hii kesi, maana Tigo wakikubali kuwalipa wakina AY&FA tu, basi huenda msururu wa wasanii wa Bongo flavour kuwashtaki Tigo ukaongezeka, maana hata wao nao nyimbo zao zimetumika kama ringtones kwenye miito ya Tigo.
😲😲🤣"Na ikibidi wafungwe"
na kama itampendeza muheshimiwa hakimu wakili wao anyongwe mpaka kufa
😂😂 Ama kweli roho zinatofautiana rangi mweeee!"Na ikibidi wafungwe"
na kama itampendeza muheshimiwa hakimu wakili wao anyongwe mpaka kufa
Mkuu, hawa kina AY na FA walishinda ile kesi na walishalipwa.Makampuni ya simu huwa hayaingia mkataba na mtu(yaani msanii mwenyewe) bali huingia mkataba na kampuni (ambayo husimamia kazi za msanii). Na hicho ndicho Tigo walichokisema kwenye hii kesi. Tigo wanasema zile ringtones waliuziwa na kampuni ya Cellulant Tanzania Limited.
Walichokifanya wakina AY& FA ni kuwashtaki Tigo badala ya kuishtaki kampuni iliyoipa Tigo haki ya hizo ringtones. Na hili halikufanywa kwa bahati mbaya, AY&FA walijua kuishtaki ile kampuni iliyoingia mkataba na Tigo wangeweza kushinda kirahisi (ikiwa kweli hiyo kampuni hawakuiangia nao mkataba) lakini wasingeambulia hata senti tano (haiwezi kuwa na hiyo pesa), lakini kuishtaki Tigo wangelipwa tu pesa hata kama sio zote wanazozidai (maana wangeweza kuitwa haraka chemba ili kupozwa na kuifuta kesi. Why? Tigo ingetaka kulinda reputation yake kwenye jamii).
Yote kwa yote, huu ni mchezo wa mawakili kupiga pesa za makampuni. AY&FA huenda wametumika tu kama platform ya wanasheria wajanja kuvuta mpunga. Sasa deal likienda mrama, FA&AY wataangushiwa jumba bovu.
Kiujumla hii kesi naona mbichi sana, kuna mengi nyuma ya Pazia huenda tutayajua.
Kwa vyovyote vile, Tigo hawatakubali kirahisi kukubali kushindwa katika hii kesi, maana Tigo wakikubali kuwalipa wakina AY&FA tu, basi huenda msururu wa wasanii wa Bongo flavour kuwashtaki Tigo ukaongezeka, maana hata wao nao nyimbo zao zimetumika kama ringtones kwenye miito ya Tigo.
....hatareee🤣🤣😂😂 Ama kweli roho zinatofautiana rangi mweeee!
Hio inaitwa roho ya kazi mkuu , kuna mwamba alikutana na malaika baada ya kutenda wema akaambiwa aombe chochote kile atapewa ila jamaa yake atapatiwa mara mbili ya kitu hicho alichoomba ,mwamba akaona akiomba utajili mchizi atamzidi akaona isiwe kesi akaomba tu ang'olewe jicho moja ili mchizi wake ang'olewe mawili😂😂 Ama kweli roho zinatofautiana rangi mweeee!
🤣Hio inaitwa roho ya kazi mkuu , kuna mwamba alikutana na malaika baada ya kutenda wema akaambiwa aombe chochote kile atapewa ila jamaa yake atapatiwa mara mbili ya kitu hicho alichoomba ,mwamba akaona akiomba utajili mchizi atamzidi akaona isiwe kesi akaomba tu ang'olewe jicho moja ili mchizi wake ang'olewe mawili
Hizi ndio roho zetu washikadau 😀
Wewe jamaa umenichekesha sana na concerns zako. Ni kweli mambo ya mahakama kama huna uzoefu nayo yatakusumbua sana.Lakini hapa Mimi naona mwenye makosa Ni MAHAKAMA YA ILALA.
Sasa wakizirudisha hizo hela ndo itakuwa wameshindwa kesi?.
Mimi ndo maana masuala ya mahakama sitaki haha kuyafuatilia.
Niliachaga kesi njiani kwa ajili ya sarakasi zao.
Dah!..Ina maana hii kesi iligeuzwa dili ili wanaume wavute mpunga, Sasa kina FA wameangushiwa jumba bovu.Hii kesi walishindwa tangu mwanzoni kabisa. Akaja Alberto Msando akanunua kesi wakacollude na mahakimu na watu wa Tigo kesi ikaisha wakavuta hela fasta yaliyoendelea mnajua. Nadhani watu wa Tigo walidelay kuappeal ili hela zilipwe wasepe zao, ukifuatilia unaweza kuta wote waliokuwa wanahusika upande wa Tigo walishatimua zao
Waliofungua kesi Ni kina nani !! ? tigo !?Ni sawa, lakini mi kosa la nani? MwanaFA na AY ndo walipelekea mahakama ya wilaya ifanye iliyoyafanya?