mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Hapa kuna mambo matatu ya kuzingatia,
Jambo la kwnza mpka mahakama inatoa hukumu je wakili WA tigo alikuwa hajui kama hiyo mahakama haina uwezo WA kusikiliza hiyo kesi?
Jambo la pili rufaa imekatwa nje ya muda ,kisheria walitakiwa waitwe washitaki wakae meza moja na washitakiwa, wale washitakiwa walete vielelezo kwann wamekata rufaa nje muda kuwe na sababu za msingi sana, kama mshakiwa alikuwa anaumwa na anatakiwa alete vielelozo vya ugonjwa aliokuwa anaumwa kama hoja zake hazina mashiko hapewi nafasi ya kukata rufaa nje ya muda ,
Jambo la tatu kila hakimu huukumu kutokana na hukumu Fulani za awal ndio maana mahakimu hata kama amehukumu sivyo hakuna wa kushitaki maana ukimuuliza kwann umehukumu hivi atakuletea kesi kama hiyo iliotokea ktk nchi fualani na hukumu ikawa hivyo, hakimu anaweza akashauliwa na wazee WA balaza juu ya kesi Fulani nae akahukumu kivingiiine
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app