Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Barikiwa mkuu,nimeelewa sasa
 
Haya maisha nimejifunza kitu kikubwa sana. Nikiwaonaga akina Hans Pope na mandinga yao wanapiga misele twn nasemaga kuna watu wamebarikiwa wanakula raha hivi why me. Kumbe mwenyezi Mungu ana makusudi na mm kunipa maisha yenye amani tele. ona sasa Hans Pope anaenda kukaa Lupango sijui mpaka lini
 
Z Hans Poppe ana hotel kubwa sana katikati ya jiji la Iringa, sijui ataihamisha vipi, labda aiuze. Yale Maroli ya mafuta nina muda cjayaona, cjui keshayahamisha!
Huyu ndo alikuwa target ya JIWE.Aligombana naye kipindi kile cha malori.Hanspope akishakaa jela zaidi ya miaka 10 kwa uhaini.Alitoka kwa msamaha wa rais,anarudi alikotoka.
 
Duu!ndio viongozi wa soka tulio nao Tanzania
 
Hanspope alishatiwa hatiani kwa uhaini na kufungwa.kama ni shida anazijua na baba yake alitandikwa risasi na majeshi ya Idd Amin .Alikuwa RPC wa Kagera.
 
Nchi ya visasi .......badala ya kufokasi namna gani wataacha alama ya upendo na maendeleo baada yao ....Wao wanahangaika namna ya kuacha vidonda kwa wabaya na mahasimu wao
Rejea kwa viongizi km Mzee Mwinyi alivyotuacha na tunavyompokea kila anapotokea kwenye halaiki .Jk nae ameacha alama japo mapokezi makubwa anayapata km bezo kwa huyu

Mtumwa akipewa ufalme
 
Serikali bwana, kila mahalai inatia mguu...ni mwendo wa visasi tu
 
Leo mahakama ya Kisutu imetoa hati ya kukamatwa au kujisalimisha mwenyewe katika kituo chochote cha Polisi au kwenda Mahakamani kwa Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba Zacharia Hanspope katika kesi ya utakatishaji wa Fedha (Uhujumu Uchumi),pamoja na Mwenyekiti wa Evancy Aveva na makamu wake Geofrey Nyange.Zacharia naye ameonekana anakesi ya kujibu katika shitaka hilo la utakatishaji wa Fedha.

Source:Mimi mwenyewe nipo Kisutu Mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…